Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Ukitaka kujua kama mwanamke wako anachepuka simple tu,
Chukua simu yake...mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"...
Likija swali "Ya nani hyo shoga".....Ujue brothermen huna chako...mko wengi