kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 903
Wakuu,
Kuna wadada wawili siwasomi kabisa. kila wakiniona mmoja wao anaanza kusema "una hela wewe" mwenzake anaitika "utajiju" afu wanamalizia na kicheko, leo mmoja akmalizia na neno chevu (sina uhakika kama amesema chevu au chefu). Sijawahi kuwapa salam ila kila wakiniona hiyo ndo salam yao kwangu.
Wakuu nashindwa kuwaelewa hawa kina dada wana matatizo gani, embu nipeni maarifa hawa wadada wanamaanisha nini?