JF ...Auto reply ...will miss you guys!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,666
Likes
658
Points
280

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,666 658 280
Peoplez nawapenda sana nashukuru mungu tumeishi vyema kuanzia January mpaka sasa tunaelekea mwisho wa mwaka ,na tunatarajia kuanza mwaka mpya wa 2011 ,naomba mwenyezi mungu wa upendo atupe salama woooooooote JF na family zetu na wale wenye ma G/F wachumba na wazee wa Infiiiiii. tuufukie na tuanze salama new year huku malengo yetu yakitimia.
Nawashukuru wapwaz na mabinamu wote tulioshirikiana bila matatizo katika post mbali mbali na kimawasiliano,mmekuwa watu wema sana kwangu na imani katika harakati zangu za Ubunge 2015 mtanipa support ya nguvu.Natanguliza shukrani
Nadhani sitaingia JF kwa kipindi chote hiki ama nitaingia kwa kuchungulia na kutoka .
Upendo wangu uwe mioyoni mwenu mpaka hapo January tutakapokuwa wote kwa mapenzi yake mwenyezi mungu.
I love you all and God bless you
FL1
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
335
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 335 180
Shem, usituchoke mapema hivi bana.,hivi una hbr kwmb Jf hata ukiwa kwenye kaburi unaipata, ili mradi liwe na antenna(msalaba?).
Lkn kmbka khs safari ye2 huko Manyara,..siti imeshawekwa.
 

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,863
Likes
133
Points
160

Iza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,863 133 160
Kumbe na wewe ni mitaa ya chini ya Mlima Kilimanjaro upande wa Tz..
Sikukuu njema mama mkubwa..
 

Forum statistics

Threads 1,203,306
Members 456,700
Posts 28,108,448