Wisdomlover
New Member
- Aug 11, 2015
- 2
- 1
Wanajamii niko na tatizo moja...
Huwa nikiwaona akina dada waislamu wamevalia baibui nawependa sana ingawa ninaogopa kuwaongelesha kuhusu mapenzi sababu mie ni mkristo...
Nisaidieni jameni