adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Hii muvi ilianza kuna jamaa alikuwa anafkuzia mke wa mtu bila kuchoka.
Mke akamwambia mume.wakashauriana waweke mtego matata wa kufumania ili mgoni abananishwe atoe pesa maana anazo!
siku ikawadia mke akakubaliana na jamaa wakutane gesti kama kawaida wako ndani washavua kila kitu mara mara mwenye mke akavamia na jamaa yake ili wamtaiti mgoni!kumbe mgoni mjanja bana akawatolea bastola akawaamuru wafunge mlango afu akawaweka chini ya ulinzi huku anakula mzigo hadi akamaliza afu akawafungia wote humo ndani.jamaa akajikuta kakosa ela na mkewe katafunwa hahahah