Wadada basi hata aibu hakuna?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada basi hata aibu hakuna??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jamii01, Oct 31, 2012.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

  Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

  Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

  Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.
   
 2. M

  Mundu JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kuna kawimbo ka pwani kanaimba..."wape wape vodonge vyao, wakimeza wakitema, shauri yao"


  Ila ngoja kidogo, kale ka mfumo dume kanaanza kwisha nini? Demu anakutokea live...sasa hapo unakuwa unang'ata vidole ama?
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ATM ni kwa kila mwenye kadi ya kutolea pesa hata hazimo anaweka
   
 4. M

  MR.LEO Senior Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo ni jambo la kawaida kaka na hiyo ndo sehemu ya kwanza ya majaribio katika maisha yako ya ndoa!
  Kama ni kweli big up sana.
   
 5. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  So uhandsome wako umeutambua ukiwa abroad?
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Nilimpiga jicho hilo ni balaaa..nadhani walikwenda kuambiana huko wakati wa lunch..
   
 7. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unafanyia kazi Bar?
   
 8. M

  Mchaga HD Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata mm nakutamani,tungekuwa malawi ningekuoa..na posa ningetoa.
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jamii01 dogo bado hujaquliafy kuwa fisi maji, gonga wote wataacha kukutania watajua kuwa mtu ukikaa kwenye njia ya treni lazima likugonge (I'm kidding)
   
 10. 1

  19don JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  upo darasa la ngapi na hz hadithi zako zinatufundisha nn?
   
 11. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  haaaaa...nyie ndiyo wale wale tu..mnatongoza vijana hata aibu hakuna..Alafu useme Ukimwi utakuja kuisha sehemu ya kazi,Mie siyo mrahisi kiasi hicho,siwezi kufanya upuuzi huo kwa mwanamke yoyote yule,zaidi ya mke wangu ananiamini na mimi nina mwamini..na sioni sababu ya kutoka nje ya ndoa yangu kama kila kitu napata kutoka kwa mke wangu tunaaishi kwa furaha,upendo na amani..tunajariana na tunachukuliana kwa kila hatua na mapungufu yetu.  Natafuta nini sasa..wanawake wote ni sawa tofauti ni sura,maumbile na kujituma..Ukiangaika sana utapata usilolitegemea...unapteza family yako yote na ndoto zako.mapenzi ni zaidi ya kugonoka..
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kanyaga wote we unachezea bahati ya mtende
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Unajipigia chapuo? Umesoma abroad, handsome, kwanini wasikutake.........lol
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ah! wapi ni haya mapapa ya mjini tu yasiyo na aibu Mundu!...Kama wanajua jamaa ana mke tena staff mwenzao na harusi walishiriki si ndio mafisi maji hao!! namshauri tu jamaa akomae asiharibu ndoa yake tena bado changa kabisa!....
   
 15. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Mie siyo mzinzi kiasi hicho unajua kuna wanaume inshu kama hizi wanaona hadithi lakini mie na experience nazo zaidi ya mara 6 au 7 hivi kipindi nilipokuwa A'level ilikuwa day school,Chuo pia na kipindi nafanya kazi miaka ya 2009,

  Ukiona mwanamke anakutamkia hivyo huyo ni mzizi...atatamani wangapi?kuna watu wengine hawajui kama wanawake huwa wanatamani lakini mie na experience hiyo wanawake huwa wanatamani sana na hasa ukimjari sana zaidi hata mpenzi wake,Mpigie simu,mtie moyo,msaidie,unamuuliza maswali umekula unajisikiaje na mengineyo..utaona jinsi unavyomvuta hisia zake..sasa wanaume wanakimbilia kutongoza au kuwa busy kutafuta pesa na kuonga pesa..
   
 16. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Hao mademu wote miwaya na wakalie mbali
   
 17. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  kwikwwiwiwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww hili katika bold lilikuwa na umuhimu kumwambia?
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  sawa handsome boy ulosoma abroad, kitongozwa ni jambo oa kawaida haijalishi kama mtu ameoa au ameolewa.... Hakuna cha kuona ajabu wala cha aibu, jukumu la kulinda ndoa lipo mikononi mwako na mkeo...

  Hakuna cha kishangaza hapo
   
 19. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  pengine dada alikuwa anakujaribu tu ama anakutania na yawezekana alikuwa serious. lakini katika ulimwengu yote hayo yapo na unapaswa kuelewa kuwa yapo. hakuna jipya. shika msimamo wako mpende mkeo epuka vishawishi na ukae navyo mbali kabla hayajakukuta makubwa. hawaachagi hao.
   
 20. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mkuu kumbe nawe umeliona hilo eeh.
  Mara anapigiwa simu usiku wa manane ... Pooh! childish!
   
Loading...