manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Ukiingia Facebook what's up nk mtandao mingi ya kijamii unakutana na kina dada wengi wamegeuzia makalio alafu anapost.Hivi huoni kuwa kuna kaka zake wazazi nk wanaokua wanaona alafu sametime nguo aliyovaa sasa daaah! Ni full kurushana stim hivi kwanini kina dada hamuheshimu viungo vyenu kila mtu kiviona kuweni na mpaka basi kwanini mnapenda kutugeuzia makalio?