lift gharama
Senior Member
- Apr 11, 2015
- 107
- 65
Hi wadau,
Nimezoea kusikia wadada huwa wanatabia ya kuzimia kwenye show akimpata mwanaume wa ukweli na kama ana kiu ya muda mrefu.
Juzi kati yalimkuta rafiki hayo ya kuzimia akipiga show mechi ya kirafiki katika uwanja wa ugenini.
Huyu rafiki yangu japo ameoa lakini kwa kucheza friends mechi hajambo. Na kila akitoka mechi lazima anipashe ooo pale nilipiga hat trik ooo uwanja ulikuwa safi ooo alipata upinzani mkali hiyo mechi. Yaani hanifichi kitu.
Sasa wiki iliyopita kaenda kucheza mechi ya ugenini ya kujipima nguvu. Aliyekutana naye siku hiyo sijui ni wa aina gani maana cha moto alikipata. Jamaa kwenda kupiga mechi ile kupiga goli la kwanza si akazimia kuanzia sana nane mchana hadi kuja kuzinduka ni saa tatu usiku na demu kashasepa kitambo. Ila bahati nzuri hakuna chake kilichoibwa.
Jamaa kushtuka akaanza kutetemeka na jasho kwa wingi. Yaani alivyonisimulia ameapa hatakaa arudie ujinga huo.
Napenda kujua kwa wadau tatizo nini hasa hadi mwanaume apatwe na hali hii maana mmmmh kesho inaweza kuwa kwako.
Karibuni.