MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,617
- 21,350
Siyo siri huwa nakosa pozi pale napomsimamisha msichana ili nirushe mawe lakini kabla sijaongea chochote anasema shikamoo kaka/baba.
Mara nyingi kuua soo huwa namwambia mimi ni mwalimu kwa hiyo nilikuwa nataka kujua kama anahitaji tuition.
Je wewe huwa unafanya nini kwenye situation kama hii?