Hadithi ya wapenzi wawili

kwasukwasu

Senior Member
Jun 15, 2016
120
134
Kulikuwa na wapenzi wawili waliokuwa wakisafiri kwa basi lililokuwa linapita katika barabara ya milimani. Walipofika katika maeneo fulani katikati ya milima wakashuka na kuacha basi lile liendelee na safari.

Basi hilo lilipoendelea na safari, jabari (jiwe) kubwa likaporomoka toka mlimani na kuangukia basi hilo na kuua abiria wote ndani ya basi. Wale wapenzi baada ya kuona hivyo wakasema "Dah tunatamani tungekuwa kwenye lile basi"

Unafikiri kwanini walisema vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom