Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,377
- 9,297
ukishaolewa na kuw na familia yako ebu jaribuni kuwa na marafiki wa kwenye ndoa tu hawa mabachelor watawapotosha nakujikuta unavunja ndoa yako bila kutarajia!!!!!!!!
Sijaolewa ila huwa nashangaa kwaninI wanandoa hupenda kuNiletea matatizo yao kwangu adi Naiogopa ndOa,,,,,,, ni hivi jiran yangu anamashoga wa uswahilin sana amemshawish mke wa mtu kuanza kuvaa shanga nae huyo akaOna dili akaenda kwa huyu jirani yangu na kuanza kumshawish juu ya kuvaa shanga kiunon ati huwa zina mahaba niuwe jirani yangu yupo ndoan miakd 9 sasa kaamua kuanza kuvaa shanga kumbe hajui zilikuwa zina leta mikosi ndoani matokeo yake yule mama aliemshawish kafukuzwa na mmewe na rafiki aliemshawish alikuw bachlor ndo kasogezwa ndani kaolewa badala hake,,,,, jirani yangu nae kafukuzwa aend kwao mpaka sasa htujui yanayOendelea kama atasamehewa au la!!!!!!! Nacho wasihi kama umekUwa huna shanga kiunon / hujikoboi/ hupaki wanja/ unavaa nguo za adabu n.K ebu jaribu kutulia n uendelee kujikubali habari ya kujibadilisha umeshaolewa utajutia!!!