mshai
Senior Member
- Sep 10, 2014
- 104
- 38
Habari yenu wana JF,
Nina mchumba wangu ninampenda sana, kabla/wakati tulipoanza mahusiano, alikuwa 'anti-social' hata kwa wanawake wenzake lakini kadri siku ziliposogea baada ya kuanza mahusiano nikaanza kuona ameanza kupenda kuwa na marafiki.Tatizo sio kuwa na marafiki bali marafiki wake wengi ni wanaume zaidi ndo marafiki anaowasiliana nao kwa sana kuliko wasichana wenzake.
Naomba ushauri nifanye nini ili nipate amani ya moyo maana nakosa raha napoona anakuwa too busy with men than her fellow women.