Siwezi kumsamehe muongo

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya.

Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana mtu akiniongopea.

Je, ni kawaida kushindwa kusamehe? Nifanye nini ili niweze kusamehe kutoka moyoni?
 
Uko sawa
Kusamehe sio tabia ya watu dhaifu.
1465842009565.jpg
 
Ukweli ambao utakuumiza tu afu haukujengi wala haukusaidii chochote wa nini? si ni bora udanganywe tu kusave situation. Wakati mwingine uongo unakuaga mzuri ati
 
Hili nikujuwe kwa upendi kuongopewa napenda nijuwe kama una chama chochote cha siasa.
 
Back
Top Bottom