Nimelisikia mara nyingi sana hili

Status
Not open for further replies.

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,200
Hizi ni tetesi,uvumi, uzushi au vyovyote mtu atakavyoliita hili jambo, mi sina uhakika nalo lakini nimelisikia likiongelewa sana eti ni kweli kwamba hawa ndugu zetu waislam wanawake wanapokwenda msikitini huwa hawavai ch*pi?

Na kama ni kweli hebu mnijibu kuwa ni kwanini hawavai na je wakivaa itawaathiri nini kuna maandiko yao yoyote yanayowazuia wasivae ivo viwalo? Msaada plz
 
Hizi ni tetesi,uvumi, uzushi au vyovyote mtu atakavyoliita hili jambo, mi cna uhakika nalo lakini nimelickia likiongelewa sana....eti ni kweli kwamba hawa ndg zetu waislam wanawake wanapokwenda msikitini huwa hawavai ch*pi?

Na kama ni kweli hebu mnijibu kuwa ni kwann hawavai na je wakivaa itawaathiri nini.....kuna maandiko yao yyte yanayowazuia wacvae ivo viwalo? Msaada plz

Ukitaka uhakika wa hilo ongea na yeyote alowahi kuwa muislam then akakombolewa na kutoka huko .... ndugu ... nilibahatika kuongea na mmojawao tena mbele ya waislam wenyewe - walikubali na jamaa alikuwa anaquote mistari toka kwenye msaafu wanaoutumia.

Kitabu hicho ndo maana huwa hawataki kitafsiriwe chote .. kuna mengi ya kushangaza ...
 
Jifunze kuandika halafu ndio uje na maswali yako
cna????? wacvae????? ivo??????
 
GG hii inashwauriwa tu sio lazma uvue kama unaamini nguo yako ya ndani ni safi swalia...na hii inatokana na kuwa mkojo ni najisi..sasa kama ujuavyo unaweza kwenda haja marakwamara na nguo yako ya ndani ikapata mwagikiwa mkojo hapa utakosa udhu kwa hofu ndo maana tunavua.(KWA NIJUAVYO)
 
Ukitaka uhakika wa hilo ongea na yeyote alowahi kuwa muislam then akakombolewa na kutoka huko .... ndugu ... nilibahatika kuongea na mmojawao tena mbele ya waislam wenyewe - walikubali na jamaa alikuwa anaquote mistari toka kwenye msaafu wanaoutumia.
Kitabu hicho ndo maana huwa hawataki kitafsiriwe chote .. kuna mengi ya kushangaza ...
mhhhhhhhh
 
Kwa hiyo ni kweli hawavai?
 
Wewe kweli hauna hoja kwani msahafu haujatafsiriwa wote???????

Kwa ufupi tu ni kuwa hata wanaume huwa hawaruhusuiwi kwenda kusali na nguo ya ndani ambayo inabana kama chupi au skin tight.

So hiyo issue ya kusema ni wanawake peke yao si kweli na hakuna ajabu ni sawa tu na mtu anavyoenda kusali bila kuvaa viatu wakati wewe kwenye imani yako unavaa viatu.

Wanaokisoma kitabu kile na wakakielewa wanaingia katika dini kwa hiyari yao.Sio kama wewe unatafsiriwa na kwa chuki bila lazima utaona cha kushangaza.

Usiwe na chuki kama baba yako Trump kijana.
 
GG hii inashwauriwa tu sio lazma uvue kama unaamini nguo yako ya ndani ni safi swalia...na hii inatokana na kuwa mkojo ni najisi..sasa kama ujuavyo unaweza kwenda haja marakwamara na nguo yako ya ndani ikapata mwagikiwa mkojo hapa utakosa udhu kwa hofu ndo maana tunavua.(KWA NIJUAVYO)
Nakushukuru sana kwa ufafanuzi huo
 
Kwa hiyo ni kweli hawavai?
Mchangiaji mmoja kaishatoa sababu ya kutovaaa hiyo pichu - usafi ila kuna sababu nyingine ambayo ikisemwa hapa ... dah! noma
kuna wanawake wanavaa chupi miaka hii?
mimi toka nilivoachana na nepi na kujitambua sijawai na sitokaa
cha kujitesa na mambo ya mkoloni?
Umenikumbusha dem wangu mmoja ... enzi za miaka ya 90; sikuwahi hata siku moja kumkuta kavaa chu.pi .. kisa eti dar kuna joto sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom