Hawa wazazi wa kisomali watanikubalia kumuoa binti yao?

mudy92

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
671
530
Wasalaaam....

Nadhani mu wazima wa Afya na wale wagonjwa Allah/yehova awape shifaa,

Ndugu zangu wapendwa nimekutana na binti mwenye asili ya kisomali ni mzuri na anajielewa nimependa kumfanya shemeji/wifi /mkwe wenu ila nahofia kuwa wazazi wake hawataafiki kwani wanatubagua sana sisi waswahili..

sijui kama itawezekana! daaaah nawaza sana
 
Sasa umekata tamaa mapema kihivyo....kujaribu sio kushindwa Kaka.
 
1466014270393.jpg
 
Mke au mume ni rizk kama rizk zingine...kuzipata lazma utukumbana na changamoto nyingi usipojikaza utapoteza rizki yako na amani ya nafsi yako pia..,Muombe sana MUNGU kama niwako atakufika inshaalah.
 
Kukubaliwa sio tatizo, tatizo ni masharti yao. Lazima baba mkwe akufanyie test kwanza ya yale mambo utakayokuwa unamfanyia mwanae, je utakubali?
 
mh wasomali wanaanzaje kukubagua? yani labda muwe tofauti kiimani, kwani wanaishi wapi hao wasomali na huyo binti mmekutana wapi na vipi?
 
ha ha ha ha ha ha ha ukiwa unaenda kupeleka mahari nishtue bas na mm niende naweza pata wa kuni dondokeamo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom