Natafuta Mke, preferred is a nurse or teacher

fortuneless

Member
Jun 8, 2016
95
49
Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi yoyote asiwe mfupi sana, Kabila lolote, hata dini yoyote I am ready to change nikimpenda.

Ambaye yuko serious please don't hesitate Pm me so as we can make appointment huwa niko Comfortable zaidi nikionana na mtu face to face na kumueleza shida yangu.

Pia yale mambo ya mtaani kwenu haujaona mwanamke its true i always work up 5:30am returning home 7pm so nawaasa hasa wachangiaji usije ukiharibu uzi huu jiandae kisaikolojia.
 
Why Nesi au mwalimu?

Unataka mshara wake wa Laki 4?

Mura huo ni uoga na ukwepaji wa majukumu!

Unahisi ajira yake IPO tu!

Kama unatafuta mke wewe taja sifa na vigezo vingine ila sio kazi yake!

Coz kama ni hivyo mfungulie yoyote ambae sio Ticha wa Nesi
Hata kijiduka tu alafu kiboreshe

Uone kama hataingiza na yeye hizo Laki 4 kwa mwezi!
 
Sababu isiyokuwa na maana kabisaa et unaamka saa 11 unarudi saa 1, unataka wanawake kwenye uhakika wa kipato, hupaswi kutegemea kipato cha mwanamke katika mahusiano hata kidogo
 
19- 24yrs hawa bado ni mabinti wadogo sana kiumri '. Sidhani kama wapo desperate mpaka kutafuta wanaume mitandaoni .

Kigezo cha ajira,' umeonyesha udhaifu mkubwa sana/uwoga wa maisha . Pole sana.
Hata mimi ningependa iwe hivyo maisha ya Kizamani ya Kuoa mbumbu lisilo na Kipato toto la kizaramo lililoacha shule Darasa la nne kazi siko tayari hata mimi kukaa na mwanamke wa aina hiyo maisha ni Kusaidiana............
 
Sababu isiyokuwa na maana kabisaa et unaamka saa 11 unarudi saa 1, unataka wanawake kwenye uhakika wa kipato, hupaswi kutegemea kipato cha mwanamke katika mahusiano hata kidogo
Surely Yuko sawa maisha ya siku hizi ni Kusaidiana kama ulikosea pole sana mimi mwenyewe nimeoa mwalimu!
 
Why Nesi au mwalimu?

Unataka mshara wake wa Laki 4?

Mura huo ni uoga na ukwepaji wa majukumu!

Unahisi ajira yake IPO tu!

Kama unatafuta mke wewe taja sifa na vigezo vingine ila sio kazi yake!

Coz kama ni hivyo mfungulie yoyote ambae sio Ticha wa Nesi
Hata kijiduka tu alafu kiboreshe

Uone kama hataingiza na yeye hizo Laki 4 kwa mwezi!
Mkuu inaonekana unaishi maisha ya Kizamani sana ya Kuchukua mke kijijini (Goalkeepers) Life ime change sana jukumu la mwanamke siyo kukusubiri wewe mdau yuko sahihi na labda akimpata atamueleza sababu zake maisha ni Kusaidiana.
 
mwanamke akiwa ameelimika tu na anajitambua.. ni mzuri.kuliko alieajiriwa...

napenda sana mtu anaewaza kujiajiri ile deeeep ya uzalishaji au ku add value product... sio mjasiriamali mzushi ile ya kuuza mashuka sijui viatu watsup na instagram... wengi wauza sura tu..
 
Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi yoyote asiwe mfupi sana, Kabila lolote, hata dini yoyote I am ready to change nikimpenda.

Ambaye yuko serious please don't hesitate Pm me so as we can make appointment huwa niko Comfortable zaidi nikionana na mtu face to face na kumueleza shida yangu.

Pia yale mambo ya mtaani kwenu haujaona mwanamke its true i always work up 5:30am returning home 7pm so nawaasa hasa wachangiaji usije ukiharibu uzi huu jiandae kisaikolojia.
Ndugu yangu, Hilo ndiyo kosa la kwanza unalifanya katika safari yako ya kutafuta mwenza.
Kwa usemi wako tafsiri yake ni kwamba unataka kuoa u nurse/walimu. Hilo ni kosa kubwa sana.
Kwa maoni yangu, cha kwanza unachotakiwa kufikiria ni aina ya mke ambaye ungependa kuoa. kwenye hili kuna haiba/tabia na specs nyingine suala la kazi liwe la mwisho kabisa. Hivi nikuulize ukipata mwanamke ambaye ana vigezo vyote uvipendavyo lakini siyo mwalimu wa nurse itakuwaje au upata mwalimu /nurse lakini tabia na hulka yake ni tofauti na upendavyo wewe inakuaje.
 
Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi yoyote asiwe mfupi sana, Kabila lolote, hata dini yoyote I am ready to change nikimpenda.

Ambaye yuko serious please don't hesitate Pm me so as we can make appointment huwa niko Comfortable zaidi nikionana na mtu face to face na kumueleza shida yangu.

Pia yale mambo ya mtaani kwenu haujaona mwanamke its true i always work up 5:30am returning home 7pm so nawaasa hasa wachangiaji usije ukiharibu uzi huu jiandae kisaikolojia.
Mkuu penye watu weng kuna mengi. Km mtu aliyekomaa kiakili huwa yupo tayar kuvumilia iwe pumba. Busara yako itakuonyesha ww ni mtu wa namna gani.
Kuchafuliwa kwa uzi hii haipingiki ipo tu.
Kutoa tangazo hili ni sawa km vile unaomba kaz kweny kampun yyte ile. Hekima yako na busara zako ndizo zitakupatia mke. Lkn wakikujibu shit na ww unajibu shit tayari hapo unapoteza vigezo sbb kweny ndoa kuna mengi siku mke wako akukuuz si utamchoma hata kisu.
THINK BIG
 
Mkuu inaonekana unaishi maisha ya Kizamani sana ya Kuchukua mke kijijini (Goalkeepers) Life ime change sana jukumu la mwanamke siyo kukusubiri wewe mdau yuko sahihi na labda akimpata atamueleza sababu zake maisha ni Kusaidiana.
Sio ya kizaman mkuu watu tunapishana haiba mwanamke ni mwanamke tu asiwe na kaz au hana ili mradi ana match na ww. Unaweza kumchukua asiye na kaz ukampa mtaji na life likasonga tena vizuri.
Ktk vitu hatari na haupaswi kufikiria ni mshahara wa mwanamke hata km mke wako ni rahic unabid utekeleze majukumu yako km kawaida ikibid hata nauli unampa. Lbd km aamue yy mwenyew huo ni uanaume.
Waulize wanaume walioa watakuambia km mwanaume uliyekomaa haupaswi kufikiria huo mshahara na usifikirie ukioa mwanamke anayepokea mshahara unapunguziwa majukumu. Sahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom