Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama huamini basi kaa kimya,ila huu ni ukweli ulio wazi kabisa. Unakuta msichana alikuwa ni rafiki yako mkubwa ambaye mnaishi kama kaka na dada na mnasaidiana kwenye shida na raha.Ila akishaolewa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Mimi ni kijana wa kiume, kuna tatizo huwa silielewi. Kila nikiwa kwenye matembezi yangu nikikutana na mdada au wanadada wamevaa vizuri wakapendeza nashindwa kuwasalimia au...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Ndugu habarini Naomba mniambie hivi mtu akiamua kukuacha kisa hamshabiiani utafanya nini? Utalia Au utamshukuru Mungu na kumuomba akusaidie uondokane na udhaifu wako akupe mtu sahihi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
angaliaaa video
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari yenu Wakuu, Hivi inakuaje baadhi yawanawake/wasichana wa siku hizi walio wengi hawaridhiki na kile walicho nacho? Yaani wa kuwa macho mia mia? Nini kina wafanya waone mwanamume mwingine...
9 Reactions
116 Replies
13K Views
Habari zenu JF Nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana. Na yeye ndo alionesha kunipenda zaidi.. Alikuwa mckivu sana na mvumilivu pia..Ilifikia wakati hawezi hata kumckiliza hata mama yake ikiwa...
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Za ukosefu wa sukari wakuu!! Binafsi napenda jina langu na najivunia kuwa nalo,vipi wengine kuna raha yoyote ya kujivunia jina? Kama ipo kwanini watoto wanaendelea kupewa majina ya hovyo hovyo...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Ilikua ni sauti ya rafiki yangu iliyonistua sana baada ya kuambiwa maneno ya kukatisha uhusiano wake na mpenzi wake ambaye walitegemea kuoana mwakani.Kila mwanaume amekuwa akimtenda vibaya na...
6 Reactions
100 Replies
7K Views
Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa. Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto. Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri. Usiolewe sababu kila...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
It may be true that the law cannot make a man love me, but it can stop him from lynching me, and I think that's pretty important. - Martin Luther King Jr.
1 Reactions
4 Replies
898 Views
Habarini za muda huu,kwa waliofunga pole kwa waliofunga kwa saumu. Nije kwenye mada,najiuliza sana kwanini wanandoa hawana mahusiano ya family groups za wenza wao? Mfano: Mwanamke akiolewa moja...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!! Times are changing and changes are inevitable inevitable. When the benefit of change exceeds the cost of change, then changes ceases to be optional and...
26 Reactions
261 Replies
19K Views
Habarini zenu nyie watu, Katika hangaika zangu za wanawake,na katika tabia zangu za chapa ilale na tabia ya kizee ya kutochagua kofia,tabia yangu ya kuishi kama jogoo la kienyeji ya kupanda jike...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Haya ni maajabu ya karne kabisa,na hii sijui niite ni ushamba au ndio mambo ya .com.juzi jmapil nmekutana na kademu kwenye gari pale sayansi,,nilimtamani nikaongea nae,usku akaingia laini.jana...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
Hao wanaoitwa Wasichana wabaya wanaolewa kila jumamosi, nyie Wasichana wazuri mko bize kununua mablackbery, ma iPhone 5,ma Ipads , mawigi ya brazili na honestly huwa mnapendeza sana kwenye picha...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Huo ni utafiti ambao bado naendelea na ukusanyaji wake wa data,ningependa mwenye majibu pia aje anisaidie katika utafiti wangu!
8 Reactions
99 Replies
10K Views
Kila nikigombana naye lazima usiku nipate shida aidha nakimbizwa au watu wamenikamata wanataka wanifanyie kitu mbaya. Kingine ambacho kina utata mfano nikitaka kumgegeda dhakari yangu nikitaka...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Sikuwahi kufikiria kama ingefika kipindi niitwe Zoba!! Zoba ni mwanaume wa aina gani!! 1.Hatongozi. 2. Haongi. 3. Kila mwanamke anamwona kama Dada yake.... Ndiyo situation ninayokutana nayo...
5 Reactions
90 Replies
9K Views
Nahitaji urafiki na binti au mwanamke wa kizungu ila huwa nashindwa kuwapata kutokana na mazingira nilonayo na sina connection yoyote. Hivyo naomba mwenye uwezo anisaidie, sio kwa nia mbaya au...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Back
Top Bottom