Wakuu habari zenu,
Mimi ni kijana wa kiume, kuna tatizo huwa silielewi. Kila nikiwa kwenye matembezi yangu nikikutana na mdada au wanadada wamevaa vizuri wakapendeza nashindwa kuwasalimia au kuongea nao ila nikikutana na wadada au mdada kavaa kawaida nakuwa na hali ya kujihamini na kumsalimia hata kuweza kumsimamisha na kuongea nae.
Naombeni msaada nitawezaje kuepukana na hii hali