Kila nikigombana nae napatwa na mauzauza

wambagusta

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,825
2,292
Kila nikigombana naye lazima usiku nipate shida aidha nakimbizwa au watu wamenikamata wanataka wanifanyie kitu mbaya.

Kingine ambacho kina utata mfano nikitaka kumgegeda dhakari yangu nikitaka kuweka kwenye papuchi yake inazima kabisa lakini kwa wengine fresh nagegeda nagombana nao usiku nalala fresh.

Hii yaweza kuwa kwa sababu gani?
 
Naomba nikwambie kwa upole tu kuwa hii post yako si ya kweli ni ya kutunga parcee...
Licha ya lugha ambayo kidogo ina mushkeli lakini kwenye profile yako kipengele cha gender ni FEMALE
labda unifafanulie kuhusu hili
Ni ngumu kuamini lakini ukweli ndio huo
 
Daima kabla ujalala soma Dua na lala ukiwa mwili wako msafi,sijui dini yako lakini fanya hivyo..
 
Naomba nikwambie kwa upole tu kuwa hii post yako si ya kweli ni ya kutunga parcee...
Licha ya lugha ambayo kidogo ina mushkeli lakini kwenye profile yako kipengele cha gender ni FEMALE
labda unifafanulie kuhusu hili
afadhar umemdaka mapema bhana malizana nae.
 
Sijaelewa tatizo ukitaka kumgegeda mkeo au hao wa nje ndio kunakuwa na tatizo?!
 
Naomba nikwambie kwa upole tu kuwa hii post yako si ya kweli ni ya kutunga parcee...
Licha ya lugha ambayo kidogo ina mushkeli lakini kwenye profile yako kipengele cha gender ni FEMALE
labda unifafanulie kuhusu hili
Kigaguka bora umesema, maana kuna watu wanajaza server za JF kwa habari za kutunga
 
Back
Top Bottom