Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,215
Habarini za muda huu,kwa waliofunga pole kwa waliofunga kwa saumu.
Nije kwenye mada,najiuliza sana kwanini wanandoa hawana mahusiano ya family groups za wenza wao?
Mfano: Mwanamke akiolewa moja kwa moja anaingikia kwenye familia ya mumewe na kama Kanisani wanaapa kwa kuwa mwili mmoja watashirikiana kwa kila kitu mpaka mauti yawakute.
Swali:-Groups mfano whatsapp mwanamke aingizwi/hajumuishwi kwenye familia vile vile mwanaume hajumuishwi kwenye kundi la mwanamke?
Natanguliza shukrani za dhati.