Mh.. Unakusanya ushaidi?wewe umewadanganya wangapi? wa wapi? na akina nani?
Yaani wanaona kuolewa ni deal,hahahaha kuolewa ni ajira ndo maana,yaani kama unataka ukubaliwe in a minute wewe sema utaowa tu,hapo ndo umemaliza
Never,na kuolewa haikuwa my priority kabisaNa ww ulidanganywa hivyo