Wasichana wabaya vs Wasichana wazuri

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,344
3,608
Hao wanaoitwa Wasichana wabaya wanaolewa kila jumamosi, nyie Wasichana wazuri mko bize kununua mablackbery, ma iPhone 5,ma Ipads , mawigi ya brazili na honestly huwa mnapendeza sana kwenye picha za harusi mnapohudhuria sherehe za wale "so called "mademu wabaya, huku Mkisubiri wanaume matajiri wawaoe. Yereuwiiiiiii...

Endeleeni kusubiri, mtaolewa mkifika miaka 80s.
Hahahahahahhahahahahhahahahahahahhahahahahahahahhahahahahahahhahahahah
ME SIMOOO,babeja sana mwanawane /GLACIAS MUCHAS
 
hao wanaoitwa Mademu wabaya wanaolewa kila jumamosi, nyie mademu wazuri mko bize kununua mablackbery, ma iPhone 5,ma Ipads , mawigi ya brazili na honestly huwa mnapendeza sana kwenye picha za harusi mnapohudhuria sherehe za wale "so called "mademu wabaya, huku Mkisubiri wanaume matajiri wawaoe. Yereuwiiiiiii...
Endeleeni kusubiri, mtaolewa mkifika miaka 80s.
Hahahahahahhahahahahhahahahahahahhahahahahahahahhahahahahahahhahahahah
ME SIMOOO,babeja sana mwanawane /GLACIAS MUCHAS


Mmmmhhh kwani wote wanofanya mambo mazuri na kumiliki vitu vizuri ni wazuri?, na wote walioolewa ni wabaya?, najaribu kuwaza kwa sauti ya kati bado sijapata picha kamili.
 
ivi mbaya vs mzur wapoje kiutofaut??? mi nachoelew mzuri sana ila matendo ni majitaka mpaka unalala unaichora picha yake kwenye ubongo inavotisha na nafsi yako adi inamchukia & mzuri sana matendo ni mazuri kiasi kwamba ukilala unatamani ndoto zako kila siku ziwe za huyo bint... Sasa sijui unazungumzia sura/umbo??? sijaelewa!!!!!!.
 
Wanawake warembo ni wazuri kwa kugonga tu ila wanawake wazuri ni wazuri kwa kuoa.

Coz naamini hamna mwanamke mbaya ktk ulimwengu huu

Nb: warembo+wazuri
Key word "so called wabaya" so called wazuri
 
Kila mwanamke ni mzuri.... Hakuna mwanamke mbaya aliyeolewa ila ni wazuri...

Kuolewa its a matter of time and chance even lucky....

Wataolewa tuwaombee....tu
Ni kweli wataolewa tu
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom