Nikishafanya mapenzi na mwanaume nakosa hisia nae, je nina tatizo gani?

Wakubwa shikamoon wenzangu habarini,jamani iko hivi nikiwa na man kwenye mahusiano mwanzoni nitampenda sana lakini nikishafanya nae mapenzi kama mara mbili au tatu namchoka kabisa yani nakua sina hamu nae hata kidogo hata akinishika hanisisimui na ikitokea hivo hisia zangu huwa zinahamia kwa man mwingine lakini na kwa huyo mwingine hali ni hiyo nimejitahidi kujicontrol nimeshindwa mpaka sasa imefikia umri nilionao na wanaume niliofanya nao mapenzi idadi iko sawa na hali bado inaendelea.jaman ushauri wenu katika hili please!
Una pepo mahaba wewe nenda kwa watumishi wa Mungu ukaombewe na kutubu dhambi.
 
Wakubwa shikamoon wenzangu habarini,jamani iko hivi nikiwa na man kwenye mahusiano mwanzoni nitampenda sana lakini nikishafanya nae mapenzi kama mara mbili au tatu namchoka kabisa yani nakua sina hamu nae hata kidogo hata akinishika hanisisimui na ikitokea hivo hisia zangu huwa zinahamia kwa man mwingine lakini na kwa huyo mwingine hali ni hiyo nimejitahidi kujicontrol nimeshindwa mpaka sasa imefikia umri nilionao na wanaume niliofanya nao mapenzi idadi iko sawa na hali bado inaendelea.jaman ushauri wenu katika hili please!
Ninaomba kukusaidia kama ifuatavyo:ki ukweli wewe huwa haupendi bali huwa unakua umewatamani; usisahau tamaa huwa inaisha ila upendo wa dhati hauishi.

Pia hadi sasa huwezi olewa na mwanaume mmoja ukaridhika kwani tayari ushakua addicted..

Jambo la kuzingatia:pUMZIKA BILA KUFANYA MAHUSIANO AU MAPENZI KWA MUDA MREFU... japokua ni kazi ngumu saaana kwako kwani ushazoea kurukaruka..baada ya kukaa muda MREFU itakusaidia kufanya MAAMUZI ya kuwa na mpenzi mmoja umpendae.

Njia hii ikikushindaa TAFUTA MAOMBEZI UOMBEWE KWANI UTAKUA NA MAPEPO YA UKAHABA
 
Uponyaji huanza kwa mhusika kujitambua. Weye umeshajitambua hivyo ni rahisi kuombewa na kupona. Nenda kwa kiongozi/mchungaji wa kipentekoste akung'oe hilo pepo la uzinzi
 
Wakubwa shikamooni, wenzangu habarini.

Jamani iko hivi, nikiwa na mwanaume kwenye mahusiano mwanzoni nitampenda sana lakini nikishafanya nae mapenzi kama mara mbili au tatu namchoka kabisa yani nakua sina hamu nae hata kidogo.

Hata akinishika hanisisimui na ikitokea hivo hisia zangu huwa zinahamia kwa mwanaume mwingine lakini na kwa huyo mwingine hali ni hiyo.

Nimejitahidi kujicontrol nimeshindwa mpaka sasa imefikia umri nilionao na wanaume niliofanya nao mapenzi idadi iko sawa na hali bado inaendelea.

Jamani ushauri wenu katika hili please!
Njoo kwang utamaliza tatizo lako
 
Hujawahi tu kumpenda mtu bado
huo umri bado unatamani....
jaribu kujenga urafiki...mpenzi wako awe best friend wako
muwe na ya kuzungumza mengi nje ya mapenzi...

Inawezekana pia ulilelewa kwa dini sana
unachukulia sex kama dhambi
so uki sex na mtu unamuona kama mtu wa dhambi...
hisia zinapotea
 
Wakubwa shikamooni, wenzangu habarini.

Jamani iko hivi, nikiwa na mwanaume kwenye mahusiano mwanzoni nitampenda sana lakini nikishafanya nae mapenzi kama mara mbili au tatu namchoka kabisa yani nakua sina hamu nae hata kidogo.

Hata akinishika hanisisimui na ikitokea hivo hisia zangu huwa zinahamia kwa mwanaume mwingine lakini na kwa huyo mwingine hali ni hiyo.

Nimejitahidi kujicontrol nimeshindwa mpaka sasa imefikia umri nilionao na wanaume niliofanya nao mapenzi idadi iko sawa na hali bado inaendelea.

Jamani ushauri wenu katika hili please!
Inawezekana kwa asilimia mia unafanya mapenzi na makapuku,hapo kunakuwa hakuna mzuka.
 
Wakubwa shikamooni, wenzangu habarini.

Jamani iko hivi, nikiwa na mwanaume kwenye mahusiano mwanzoni nitampenda sana lakini nikishafanya nae mapenzi kama mara mbili au tatu namchoka kabisa yani nakua sina hamu nae hata kidogo.

Hata akinishika hanisisimui na ikitokea hivo hisia zangu huwa zinahamia kwa mwanaume mwingine lakini na kwa huyo mwingine hali ni hiyo.

Nimejitahidi kujicontrol nimeshindwa mpaka sasa imefikia umri nilionao na wanaume niliofanya nao mapenzi idadi iko sawa na hali bado inaendelea.

Jamani ushauri wenu katika hili please!

Pole, pata msaada wa kiroho kutoka kwa watu sahihi na sio mitume na manabii gumashi.
 
1 Ushawahi kufikishwa kileleni?
2 Kabla ya tendo kuna romantic yoyote mnafanya au mnarukiana kama mbuzi.
3 Hao wanaume ni wapenzi wako au one night stand tu.
Sioni kama una pepo au unahitaji maombi nadhani hisia zako zina stress fulani tu.
 
USHAURI
Kwanza ondoa thana ya kwamba mwanaume anakutaka kwa ajili ya kukugegeda tu Maana akili yako imeshajijenga hivyo,ndo maana ukishaliwa tunda unaona huyu anataka nini zaidi wakati ashakula chake? Naamini itakusaidia.

Pili, tafuta mtu ambaye moyo wako unamhitaji. Hujajua kupenda bado lkn jifikirie mwisho wako.

Tatu, jithamini!. Chukua muda ufikirie unaandaa mazingira gani kwa ajili ya mumeo? Papuchi inatumika Sana, je hujihisi kuchakaa? Ukishauthamini utu wako basi hakika utapona.

Pole sana
 
Tupe idadi sasa, Speed meter inasoma ngapi?
kwambia wanaume aliotembea nao idadi ni sawa na umri wake.na kwa vile Jf wengi wetu umri unaanzia na miaka 25 huvyo tayari amusha kuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume 20 k
Nashukuru sana kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi.

ama ni garigetakuwa lifanyiwe ovehaul
Tupe idadi sasa, Speed meter inasoma ngapi?
Kwa vile Jf wengi huanzia miaka 25 na kwa kuwa ka kisema wanaume ambao amisha kuwa nao ni idadi sawa na umri wake basi huyu angekuwa gari angebidi afanyiwe overhaul
 
Back
Top Bottom