kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,402
- 16,411
Sikuwahi kufikiria kama ingefika kipindi niitwe Zoba!!
Zoba ni mwanaume wa aina gani!!
1.Hatongozi.
2. Haongi.
3. Kila mwanamke anamwona kama Dada yake....
Ndiyo situation ninayokutana nayo sasa.
Nimekutana na mababes kadhaa tuliozoeana nao vizuri siku za nyuma, haswa misimu kama hii!!
Mitoko ya hapa na pale!! but this time no...last year no!!
Kila mtu ana muda wake wakubadilika na kutulia na kuchagua hata watu wakutoka nao!!
Kubadilika sio Uzoba...
Warembo msinione zoba kwa kuwanyima elfu hamsini...
Msinione zoba kwa kutoshiri vikao vya dompo...
Msinione zoba kwa kuhudhuria ibada sana...
Msinione zoba kwa kutokupenda tena Papue(papuchi) zenu!!
Kidogo Kidogo tutaelewana tu!!