Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maisha haya bhana acha tu, kila mtu anatembea akiwa na yake kifuani,kichwani na moyoni! Hasa kwenye swala la kuoa/kuolewa. Unampenda John ila utaolewa na Juma, kwa sababu Juma ana maisha mazuri...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyimbo mpya ya kasimu mganga tajiri wa mahaba inaitwa manuari,, binafsi nimeipenda sana waweza msikilizisha mpenz wako na akaipenda
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikipata sana wake za watu katika mahusiano kuliko wasichana ambao hawajaolewa. Hii hali imeanza kuniogopesha sana.mara kwa mara hata tukutane na mdada iwe popote pale na nikimtongoza...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima na uthubutu wako. 2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora ambae...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Neno langu la leo Dunia inabadilika na maisha yanabadilika zile zama za mwanamke kunyoosha miguu unasubiri kuletewa kila kitu zilishapita, mwanamke mjanja sasa hivi ni kutafuta chake kwa nguvu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi jamani huyu baba mkwe mtarajiwa unampelekea Mahari anakataa anasema binti yake hauzwi, wewe andaa harusi tu. Huyu Mchagga ananitakia mema Mimi na binti take kweli? Hivi kwanini ukatae...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Iwapo una mme mmeishi wote kwa Muda flani, kutokana na mme kupoteza uwezo wa kukuhudumia unaamua kuachana nae, anakubembeleza mwendelee, unakubali, hata hivyo huduma inaendelea kuwa ya kusuasua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi, Mimi nina tatizo na sijui hata nielezaje lakini for the past few days mambo yamekuwa magumu sana,Nimekuwa nikiandamwa na hisia za KIFO kama vile muda wowote naenda kufa. yaani...
21 Reactions
288 Replies
42K Views
Wanajamvi habari zenu! Natumaini hamjambo naombeni kuchangia mawazo yangu na nyie. "Hakuna haja ya kuhangaika kuanzisha uhusiano na mtu ambaye unajiaminisha kuwa unampenda lakini ukiangalia kwa...
21 Reactions
92 Replies
14K Views
habari ya ninyi wana JF napenda tujadili kiasi gani mahusiano yanaathiriwa na tofauti ya dini au kabila au vyote kwa pamoja... Nimeamua kutupia huu uzi kwa sababu huwa nackia sana kuhusu hii...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania?? Ngoja niwape kisa chenyewe. Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa...
18 Reactions
195 Replies
18K Views
Kuna tabia ya ajabu sana imejengeka hapa nchini ya kuwadhihaki na kuwadhalilisha wanawake wote kiujumla kwamba eti hakuna mwanamke wa peke yako,yaani maana yake ni kwamba eti hakuna mwanamke wa...
4 Reactions
93 Replies
12K Views
Jaman kwa mwanamke ataye penda kuchat na mm ani pm
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mm ni kijana miaka 28 makamo niliyonayo yanatosha kuanzisha familia ivyo natafuta mchumba awe na makamo yanayoanzia miaka 24 -32 vigezo... •Awe ana elimu kuanzia form 4 •Awe anafanya kazi yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya mchana wapendwa, nimeikuta sehemu hiii ...................................... By nature nadhani mwanamke ameumbiwa kujua "assurance" hata kama hatakuwa na matumizi nayo lakini kuwa...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 24, mfupi lakini handsome boy, girl yeyote lazma nimvutie. Nipo dar, kazi yangu ni machinga, elimu yangu fom 6. Natafuta mpenzi, uwezo wa kumgaramia elfu 20 kila wiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. KUPUUZA SAIKOLOJIA YA MWANAMKE Kitu muhimu sana anachotakiwa kukifahamu mwanaume katika uhusiano ni suala la saikolojia ya mwanamke na kujua kuchagua muda muafaka wa tendo. Mwanamke hufurahi...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Naongea na nyie wanaume wenzangu ambao mnajifanya mnajua kupenda kila kitu ''ngoja nikamuulize waifu'' hata kumtumia mamako chochote unaenda kuuliza waifu uzezeta huo, halafu mbona siku hizi...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF, Awali ya yote namshukuru Mungu kwa yote anayotenda kwa wanadamu wake, Pili,shukrani zangu ziwafikie viongozi wote wa Jf kwa ujumla wao na wadau/wanajumuiya wengine wote...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo sina amani kabisa, nimempiga mdogo wangu kipigo cha mbwa mwizi. Ni hivi, mimi nipo mkoa wa mbali kikazi. Nimekuja likizo home. Niliyokutana nayo ni bora nisingekuja hata likizo. Nimekuta...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom