Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,137
- 3,323
Nahitaji urafiki na binti au mwanamke wa kizungu ila huwa nashindwa kuwapata kutokana na mazingira nilonayo na sina connection yoyote. Hivyo naomba mwenye uwezo anisaidie, sio kwa nia mbaya au kumtaka kimapenzi bali ni urafiki tu. Tafadhari msinikejeli au kunitukana.