Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.
Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na...
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama...
Wote tunajua kazi ya moyo ni kusukuma damu lakini pengine moyo huwa na kazi nyingine nyingi za ziada zaidi ya hiyo kuna watu wanatembea lakini mioyoni mwao wamebeba maumivu, karaha na manyanyaso...
Binafsi hupenda kusoma makala na vijarida mbalimbali kuhusu maisha, katika pitapita zangu nikakutana na makala moja ikieleza kuwa baadhi ya wanawake wembamba huwa hawapi hedhi.Naomba kujua na...
Ni jioni ya leo madam mrembo wangu kipenzi kanipigia simu anasema mpenzi nimeshinda njaa leo na hadi sasa sina hela ya kula kwahiyo nalala njaa tena, naomba hela ya kula.
Mwanaume nlikuwa na...
Habari yenu wakuu,
Huu ujumbe sikulengi wewe bali lafiki yako wa kike mwenye hizi tabia, umfikishie umwambie kama ni kweli ajirekebishe.
Leo nmeamua Kuwafungukia hawa dada zetu japo kidogo tu...
Nimekuwa na uzoefu wa kuona kampuni mbali mbali zikiajiri mabinti wenye mvuto kwa ajili ya mapokezi, vitengo vya mauzo, mahotelini na hata kampuni za usafiri kama ndege na boti na maeneo mengi ya...
Nikasimama kwenye kichuguu nikanyanyua shingoo,ooh nikaona njia kwa mbali bondenii,kazi ni kuifikia njia hiyooo.i have a dream that at the banks of Rufij near Stiglers gorge, light for...
Najua ulijaribu kujifunza lugha mbali mbali lakini hauwezi kulinganisha na lugha ya wanawake hata siku moja , utakubaliana na mimi kwamba maneno mengi watakayo kuambia wanawake katika lugha yao ni...
Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora.
I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are...
Wadau habari ya asubuhi, natumai kumekucha salama huko kwenu. Kuna kijitabia kibaya sana kimeibuka na watu wamekifumbia macho sjui wadau mnalionaje hili:
1. Mtu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na...
Nianze kwa kuwapa pole na mihangaiko ya siku nzima..
Wana JF kuna jambo hua nakosaga jibu kabisa pengine mtaweza kunisaidia..
Kwanini unakuta mwanamke anafanya kazi yake nzuri tu na ana kipato...
Mtarajiwa anatoa majibu ambayo yananiweka njia panda. Yaani naweza kusikia skendo mbaya kuhusu yeye nikimuuliza ananijibu "Hakuna kitu".
Kwa wazoefu, jibu hili lina maana gani? Kwanini asijibu...
Habari zenu marafiki zangu.
Hivi mtu unamuachaje mpenzi wako muda wa kazi, kabisa unajitutumua unamwandikia mpenzio message ya kusitisha mchana.Au mwingine muda mwingine wa kutoka kazini unajua...
Members ya JF Nawasalim.
Mimi ni kijana. Umri wangu haujavuka miaka 30. Naomba Ushauri wenu katika hili....
Kwa kipindi kirefu nimekuwa kwenye jitihada binafsi za kubadilisha sehemu kubwa ya...
Habari wanaJamiiForums,
Natumai Jumapili yenu iko vyema.
Hebu wanaume tuulizane kwa maisha tunayoishi na hawa wanawake hawa wa kisasa sasa hivi bila mfumo dume mambo yangeenda kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.