juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Habarini zenu nyie watu,
Katika hangaika zangu za wanawake,na katika tabia zangu za chapa ilale na tabia ya kizee ya kutochagua kofia,tabia yangu ya kuishi kama jogoo la kienyeji ya kupanda jike lolote hata kama akiwa shemeji,nimejikuta nimebabua watoto kibao,wazuri,na wale ambao sio wazuri yaani "ugly face".
Ila nimegundua kwamba wanawake wazuri asilimia 99% hawajui mapenzi kabisa,ila tu tunawapenda kwa sababu ya mvuto ukiwa nae,ila kunako 6\5 hawajui kitu.ila ukikutana na wale wabaya wa sura hadi maumbo bhanaaaa,heeee utakimbia,yaani wanajua kumlidhisha mwanaume vibaya sana,ndio maaana unashangaa jamaa ni mkali ila anadate na demu ambae hata hawaendani,kama wewe unaungana na mimi unahisi ni sabab zipi zinazopelekea hayo yote??
NB:najisifia kitu nnachojua na nilichoweza kufanya,iwe ni kibaya au kizuri mi najisifia tu na usiongelee mambo ya pesa hapa.