figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Habari yenu Wakuu,
Hivi inakuaje baadhi yawanawake/wasichana wa siku hizi walio wengi hawaridhiki na kile walicho nacho? Yaani wa kuwa macho mia mia?
Nini kina wafanya waone mwanamume mwingine ni bora kuliko huyu aliye naye? Yaani unakuta upo naye lakini anajiona kama yupo kituo cha daladala ambapo muda wowote daladala ikija anapanda.
Hii haihusiani na hela wala nini, unakuta mwanamke anatamani jamii iruhusu mwanake aruhusiwe kutembea na wanaume watano kwa mkupuo tena waziwazi.
Wenye tabia za hivi utawajua tu kwa maneno yao na vitendo, kila mwanaume anayekutana naye anamhug mara ambusu, Mara wakonyezane, unakuta amsindikize sehemu hata hajaitwa mara ajiongeleeshe unyegenyege, Kwa ufupi unakuta anajilahisisha. Ukimpata msichana wa hivi utachoka mwenyewe na nafsi yako> Lazima ukonde... Wepesi wa kujitetea hao!..Mara utasikia huyu jirani yangu, ndugu, rafiki, classmate, Mfanyakazi mwenzangu. Wizi mtu hamna lolote bali roho ya Uasherati imemjaa kiasi anaweza kukugonganisha na kukukosanisha na Marafiki au wafanyakazi wenzio
Mimi nahisi ni laana. Huyo pepo aliyewaingia wa kufanya Mtamani kila jogoo ashindwe atetemeke aanguke chini.
Ntakuja kumalizia baadae..