Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu natumaini mtakuwa salama kuna hali fulani huwa siielewe , Mimi ni kijana Wa kiume Nina rafiki zangu Wa kike huwa napenda kuwatembelea Mara kwa Mara hasa kipindi cha wikiendi au mud a...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Uyapokee yote yatakayokupata,hata ukiaibishwa uwe na uvumilivu,siku hizi wanawake wenye mimba wanataka Burger au Pizza na inatakiwa isindikizwe na Savannah na sio kula udongo tena ,hizi ndoa za...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Haiwezekani maisha ni magumu, Watu tunahangaika usiku na mchana, tunahudumia pengine kuliko hata uwezo halafu hapo hapo ikitokea umependana na Binti au Mwanamke fulani basi " ukijitusu " tu kwenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii forum Jana nilikuwa napiga stori na mzee wangu sasa huwa ni mtu mkweli sana kwangu. Sasa katika stori nikamuuliza kwanini wanaume wengi wa siku hizi wamekuwa wagumu sana...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwanamke aamua kwenda honeymoon peke yake baada ya jamaa yake kukataliwa visa uwanja wa ndege Nomah. Mwisho wa siku aamua kwenda kula honeymoon kivyake. ================= Has shared hilarious...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wadau, Je hii tetesi ni kweli. Wengi wanasema mtu anaechelewa kuoa au kuolewa au kuwa na mahusiano ya kueleweka mpaka anafika 30s ana possibilities kubwa ya kuolewa au kuoa mtu ambaye...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
...............
8 Reactions
31 Replies
3K Views
........
5 Reactions
80 Replies
12K Views
Mnamo mwezi wa tatu nilianzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, kiukweli mapenzi yetu yalikuwa matamu kama mjuavyo penzi changa linavyonoga na...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Ukiona mwanamke ni mzuri sana, yaani sura kali, shepu hilo, miguu ya ukweli, amesoma vizuri yani unahisi kama kapendelewa kila kitu jua kuna kitu kimoja tu some where hakiko sawa. Huwezi pewa...
21 Reactions
139 Replies
16K Views
Kwa uoga wa Wanaume Dar, basi tunatakiwa tuendelea kuiombea Tanzania iwe na Amani milele na milele na kwamwe kusitokee aina yoyote ya sitofahamu. Kama ikitokea, narudia tena kama ikitokea...
3 Reactions
161 Replies
16K Views
Jiepushe na wanaume za watu, onyesha heshima kwa wake zao. Ndoa ni taasisi iliyotengenezwa na Mungu mwenyewe tokea kuumbwa kwa misingi ya Dunia. Usiruhusu mwili wako utumike kuharibu ndoa ya watu...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
HII NI VITA KALI SANA, INATAKIWA UJIPANGE Kuwa bora ni vita kali sana, kwa sababu kila kinachokuzunguka kinakulazimisha kuwa kawaida. Kuwa tofauti ni vita kali sana, kwa sababu kila mtu anategemea...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu zangu hasa vijana, kiukweli nimechanganyikiwa. Hivi juzi nilimpenda binti mmoja, nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu. Sasa leo nimenunua laini mpya ya Halotel nikaanza...
16 Reactions
250 Replies
27K Views
Habari zenu. Mimi ni kijana mtanzania, miaka zaidi ya 26. Hapa karibuni, rafiki zangu kadhaa wamepata watoto wao, na kusema ukweli ile excitement yao imenigusa mno. Mpaka umri huu, bado sina...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Leo siku ya mtoto wa Afrika!Namshukuru Mwenyenzi Mungu kwa Neema aliyetujalia sisi waja wake sifa na shukrani kwako Mungu.Wamama wenzangu na mabinti wenzangu hongereni sana,sisi ni jeshi kubwa...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jamii Forums binafsi ni mzima wa afya njema, Awali nilieleza masaibu yaliyonikuta nikaweka mambo hadharani juu ya huyu mchepuko anaedhani sijaoa na hivyo kuniganda mpaka mi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndoa nyingine zinaingia kwenye migogoro kutokana na kuingiliwa na ndugu wa mme pamoja na gubu za wanawake wa siku hizi, pamoja kwamba hawa wanawake wa siku hizi hawana uvumilivu na ni wakorofi...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu, Leo nimekaa nikaona niwape Experience ya Maisha kuhusu kuishi na ndugu baki wakina shemeji na mawifi, Mama wa kambo N.K. Siku ukiona Umekorofishana na Shemeji yako/wifi mke wa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
ivi ni kweli mwanamke ukimpa mimba ni lazima umuoe?
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…