God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
........
Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumdhalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leoza leo ndugu.
nilikua namke wangu tuu sio mwembamba sana ila wa kawaida, nilifanikiwa kumjaza kibubu akapata ujauzito sasa katika matunzo anayota na wazazi wangu aona anazidi kufutuka tuu na inye inazidi kurefuka tuu na mimi sipendi mikia mirefu kabisa yani napata shida sana,
halafu amekua mvivu hata hatembei mika 30 bila kukaa.
anajamba ovyo halaf hafui hata chupi zake yani fullu matatizo na mtoto anakojoa tena yani sitaki kuishi nae tena nakaa chumba changu peke yangu niwe msafi, kweli kidume siwez inama wakati sketi ipo ndani na ina zaid ya miezi sita kula maeneo kusha pona kabisa wala hamna maumivo yoyote kwa kweli sitaki vibonge.
nipeni ushauri ndugu nimfanyeje kama ni kumpunguzia chakula hataki anameza kinoma na siwezi kumwacha akafanye mazoezi wale wajanja wa kuchangamkia fursa wasije kufanya yao mwee sitaki kamke kangu karembo kinoma.
sijamtaja jina hii ni sehemu ya faragha, naongea nitakavyo wala sikuwapa picha yake au jina au kuwaambia ni nani.Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
Sa Hivi Nani Ana Muda Na Jandoni kwanza?Hivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
Basi hayo ndio madhara yakutopita jandoni,haiwezekani kutoa siri za mwenza wako humu kila mtu akajua hata kama tunatumia IDs fake.Hii sio sifa ya mwanaume rijali,me hata kama nitakuwa nimetupia KITWANGA zangu siwezi kufanya huu ujinga.Sa Hivi Nani Ana Muda Na Jandoni kwanza?
Sawa tunatumia IDs fake lakini sio fresh kusema hayo mambo ya chumbani humu,Jitahidi kumvumilia huku ukimpa nafasi ya kujirekebisha.sijamtaja jina hii ni sehemu ya faragha, naongea nitakavyo wala sikuwapa picha yake au jina au kuwaambia ni nani.
ndo wanaochezwa mwananyamalaHivi mkuu uliwahi kupita jandoni(samahani lkn) na kupata mafunzo??Mbona unakuja hapa kumzalilisha mkeo bure namna hii?Jaribu kuwa msiri wa mwenzako na uache hii tabia kuanzia leo
Punguza kumpatia virutubisho aina ya protein wakati wa 6x6. Tumia kingaza leo ndugu.