belionea
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,052
- 914
Jiepushe na wanaume za watu, onyesha heshima kwa wake zao. Ndoa ni taasisi iliyotengenezwa na Mungu mwenyewe tokea kuumbwa kwa misingi ya Dunia. Usiruhusu mwili wako utumike kuharibu ndoa ya watu.
Usiruhusu mwanamke mwenzako adondoshe chozi lake, alie na kujuta kwanini aliolewa hiyo ni laana kubwa. Najua maisha ni magumu na mnataka kitonga ila Haijalishi ni kiasi gani huyo mwanaume anakusaidia kimaisha, muepuke, sio wako. Tulia na wa kwako na Mungu wetu wa rehema atakubariki. "Karma is a bitch"- kuna wakati wa malipo!
Msije sema sikuwaambia!