Mrejesho: Niachane vipi na huu mchepuko!

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,120
1,510
Habari zenu wana Jamii Forums binafsi ni mzima wa afya njema,
Awali nilieleza masaibu yaliyonikuta nikaweka mambo hadharani juu ya huyu mchepuko anaedhani sijaoa na hivyo kuniganda mpaka mi mwenyewe namwonea huruma ila hakuna namna yote yametimia.

HII TEXT AMENITUMIA JANA ILA SIJAMJIBU NADHANI NIMEMALIZA HILI TATITO "THANKS GOD"!

NANUKUU"emma tangia leo nimechoka kuumiza moyo wangu asa bas endelea nauyo ulie mpata. ukanishusha thamani ukaniona mi nitakataka kwako poa sioni noma ila naona wivu, bas mingoja nijiengue kama mchele ulio lowekwa kwenye maji, kwaeli
Received:13:41:08
11-07-2016
From:L***a
0745*****8
 
Habari zenu wana Jamii Forums binafsi ni mzima wa afya njema,
Awali nilieleza masaibu yaliyonikuta nikaweka mambo hadharani juu ya huyu mchepuko anaedhani sijaoa na hivyo kuniganda mpaka mi mwenyewe namwonea huruma ila hakuna namna yote yametimia
HII TEXT AMENITUMIA JANA ILA SIJAMJIBU NADHANI NIMEMALIZA HILI TATITO "THANKS GOD"!.
NANUKUU"emma tangia leo nimechoka kuumiza moyo wangu asa bas endelea nauyo ulie mpata. ukanishusha thamani ukaniona mi nitakataka kwako poa sioni noma ila naona wivu, bas mingoja nijiengue kama mchele ulio lowekwa kwenye maji, kwaeli
Received:13:41:08
11-07-2016
From:L***a
0745*****8
Usimuudhi kabisa maana huwa wanasaidia hao katika siku ambazo mambo sio mazuri.
 
Back
Top Bottom