kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
Ndugu zangu hasa vijana, kiukweli nimechanganyikiwa.
Hivi juzi nilimpenda binti mmoja, nikamchumbia nikapeleka posa na mahali nikatoa nusu.
Sasa leo nimenunua laini mpya ya Halotel nikaanza kumjaribu mchumba wangu kumtongoza kwa SMS. Huwezi amini, amekubali kuja geto kesho kwa vile nimemuahidi endapo atakuja nimgegede ntampa elfu 50 kakubali.
Basi nikampigia kwa namba yangu halisi nikamuomba kesho tukutane akatosa. So, nimesikitika sana na ndugu zangu.
Hebu tubadilishaneni uzoefu tafadhali!