TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
Ukiona mwanamke ni mzuri sana, yaani sura kali, shepu hilo, miguu ya ukweli, amesoma vizuri yani unahisi kama kapendelewa kila kitu jua kuna kitu kimoja tu some where hakiko sawa.
Huwezi pewa vyote wanasema wahenga, wengine wazuri kinomaa kama amejiumba lakini injini rejeta inavuja, ukipiga utadhani unafua maturubai Mtera, si Mtera Ruvu chini si Ruvu balaa! Mwingine mzuri mpaka basi ila ana kifafa, katikati ya mechi demu anazima unaanza kumpepea na the guardian.
Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae room maruhani yanapanda anakupiga roba mpaka unahisi umeshikwa na baunsa wa billz.
Usione msichana mkali anakuzungusha ukadhani hataki kuliwa, wana siri nzito wanajua wakikupa ukajua utawatangaza, anakuzungusha kulinda CV isishuke.