Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,632
Habari zenu.
Mimi ni kijana mtanzania, miaka zaidi ya 26. Hapa karibuni, rafiki zangu kadhaa wamepata watoto wao, na kusema ukweli ile excitement yao imenigusa mno. Mpaka umri huu, bado sina uhakika kama naweza kuwa mume bora, ila nina uhakika kabisa kuwa naweza kuwa baba bora. Hivyo basi, nimeona nitafute mwanamama aliye tayari humu, since nikitafuta huku "duniani" chances are higher that they will get emotional and ask for more.
Nahitaji mwanamama ambaye uhusiano wetu utakuwa ni parenting tu, kwa sasa. Awe mrembo wa sura na umbo; awe vizuri kichwani; awe na uwezo wa kujitegemea; awe mzima kimwili na kiafya; awe ametoka katika familia iliyostaarabika; awe ametoka katika familia isiyo na magonjwa ya kurithi; umri miaka 20-32; rangi ya kuvutia na asilia; urefu 165cm-172 awe na good sense of humour; awe msafi wa tabia na mazingira; na mengine tutajadili mbele ya safari.
Kwa mwenye sifa, karibu.