Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari zenu wanajamii forum
Jana nilikuwa napiga stori na mzee wangu sasa huwa ni mtu mkweli sana kwangu. Sasa katika stori nikamuuliza kwanini wanaume wengi wa siku hizi wamekuwa wagumu sana kuoa?
Mzee akaniambia siku zote wanawake wanataka sana kupendwa, kutunzwa, kujaliwa sasa wakipata mtu wa kumuoa basi huko wanajiachia nafsi zao kwa kupata pumziko ndio maana unakuta wanawake wengi walio katika mahusiano ambayo hayayumbi unakuta wamenenepeana na wamenawiri vizuri sana.
Sasa tatizo linakuja kwa wanaume. Mzee akaniambia wanaume wengi wamekuwa ni watu wa kuhangaika ili kuyamantain mahusiano na kuhakikisha mahusiano yanakuwa poa sana na ndio maana wanaume wengi walio kwenye mahusiano wengi afya zao zinakuwa zinayumba tofauti na wake zao kwa kuwa wanajitahidi kila mbinu kumridhisha mke wake.
Mzee akaendelea kwamba kutokana na hali ya mwanaume kushughulikia mahusiano kwa kiasi kikubwa imefika muda wanachoka kwa kuwa kipato cha mwanamke wengi hakieleweki kinakokwenda. Sasa kwa mahusiano ya miaka hii wanawake wanataka pumziko na wanaume nao wanataka pumziko hapo ndipo panapoleta utata.
Kila mtu anataka mwenzake amsaidie, sasa wanawake wamekuwa wagumu sana. Kwa hili wanaume wanaona hakuna haja ya kuoa kwa kuwa wengi wakishakamilisha tamaa zao za ngono wanakimbia zao. Hii inapelekea wanawake kuhaha kuzitafuta ndoa,single mamaz wa kutoka na mambo mengine kibao.
Vipi wakuu mzee wangu amepatia au anakosea?
Nawasilisha