Je, Wewe hali hii imewahi kukutokea?

Habari MMU!

Kuna siku kwenye maisha unakumbwa na msongo wa mawazo unajikuta upo upo tu.

Unagusa hiki hakiendi, moja haikai wala mbili haikai.

Lakini juu ya yote unatamani kupiga monde, kuvuta sigara, bangi nk mpaka upotee like kwenye ile movie ya Hangover lakini ukiwaza kesho yake unapaswa kuwa kazini na uwepo wako wa kutoa huduma unaweza kuokoa maisha ya watu unajikuta tu unalala na maumivu hatari.

Ngoja niendelee kupata kakirikuu changu hapa, nikalale mapema kabla sijaharibu.

Nawasilisha.
Ningekuwa najua maana ya "monde na kakirikuu" ningeweza kukushauri, anyway,If you think your problems are as big as the ship, remember the blessings of our Almighty God is as big as the ocean... Live in this words.
 
Monde ni alcohol, hujapitia jeshi nini!?

Kakirikuu ni kasafari kadogo, almaarufu huko Arachuga .... Au siyo Preta?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom