Baada ya kumkopesha pesa amenizushia nimemtishia maisha na kumbaka

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,517
3,133
Mnamo mwezi wa tatu nilianzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, kiukweli mapenzi yetu yalikuwa matamu kama mjuavyo penzi changa linavyonoga na kushamiri.

Huyu mwanamke yeye bado anaishi kwao na mimi nimepanga chumba changu so mara nyingi tulikuwa na kawaida ya kulala pamoja mara kwa mara tunapotoka au kama tuko off basi anakuja kwangu na tunaspend siku pamoja.

Kiukweli hatukufuhamiana sana kiundani sana maana tulikutana tu kazini na kutoka napoishi hadi kwao ni kama 15km, kwahyo tulikutana tu kazini na baada ya kuwa marafiki ndani mwezi kama mmoja ndio tukazama kwenye mapenzi. Kiukweli tulipendana sana maana binti alikuwa mchangamfu, mwelewa, cute na alikuwa talkative vitu ambavyo nilimpenda sana.

Mwanzoni mwa mwezi wa sita tukiwa chumbani tumelala ndipo akanieleza kuwa anahitaji nikopesha laki mbili na nusu mwisho wa mwezi atanirudishia, nilipomuuliza za nini akasema kuwa anataka akajiunge na chuo fulani cha masuala ya utalii kwahyo alikuwa amepungukiwa na kama laki na nusu na hela za maandalizi mengine kwa ajili ya chuo.Ni kweli wiki kadhaa zilizopita aliwahi kuniambia kuwa anataka akasome chuo so nilikuwa aware na mpango wake.

Nilijifikiria nimpe hiyo hela au nisimpe maana kiukweli nilikuwa nampenda na tulikuwa tumezoeana sana na sikuhisi kuwa anadanganya au ana lengo gani.
Basi nikamwambia nikamwambia hela anayoitaka sina ila nina laki mbili tu so nikampa kwa masharti kuwa mwezi ajao atairejesha, akakubali vizuri tu.

Zilipita kama siku tano hivi akaniambia kuwa anahitaji tena nimpe elfu 20 ana shida nayo, nikamuuliza ya nini tena wakati juzijuzi nimempa laki 2 akasema ana shida nayo tu hawezi kuniambia, nami nikamwabie siwezi kumpa hadi aniambie, aliposisitiza sana nikamwabia mie saivi nimeishiwa hela na nimebakiwa elfu 40 tu ya akiba (nilisema hivo kumdanganya).

Baada ya kuona anakomalia sana nimpe elfu 20, nikamwambia siwezi kumpa maana ndio hela niliyobakiwa nayo, tena nikamwambia labda nikupe ukae nayo wewe mie nikihitaji nitakuwa nachukua kwako.

Niliamua kumpa tena ile elf 40 kama kumpima uaminifu wake na pia kumfanya asinisumbue kuniomba pesa.

Baada ya siku kama tatu alinipigia simu akiomba achukue elf 25 kwenye ile elfu 40 niliyompa akae nayo, mimi nikamwambia asitoe hata mia maana tulishaelewana tayari, aliposisitiza sana achukue (kwa alivyokuwa anakomalia nilijua ameshaitumia ila anataka comfirmation tu ).

Nilimzuia asichukue akakubali, so baada ya siku mbili nilimwambia kesho wakati anakuja kazini aniletee ile pesa elf 35 nina kazi nayo, kwanza aliniruka akasema hana na akakata simu.

Kesho yake kazini hakuja akasema anaumwa. Nilipomwabia vipi ile hela akasema aliitumia yote labda anitafutie nyingine.Kwanza akawa ananijibu kwa mkato kitu ambacho sio kawaida yake.

Kesho yake alipokuja job akawa ananikwepa hata kuongea, ilibidi nimsubiri hadi wakati tunatoka kazini nilimchukua kwa nguvu hadi kwangu maana sio mbali kutoka kazini.Baada ya kujitetea sana akaniambia tusubiri mwisho wa mwezi maana ilibaki week tu, nikamkubalia.

Cha ajabu mwezi ulipoisha hakunilipa ile laki 2 pamoja na ile elf 40, hapo sasa na mahusiano yakawa ya kuzinguana maana mie nikawa mkali sasa mpaka akawa ananikwepa.

Siku moja asubuhi nikapigiwa simu na mwenyekiti wa mtaa akiniambia nifike kwake muda huo kuna tatizo, nilipofika nikamkuta huyo mpenzi wangu akiwa na kaka na mdada mwingine, wote kaka na yule tunafanya kazi sehemu moja.

Mwenyekiti wa mtaa akaniambia huyo dada (mpenzi wangu) ameleta mashitaka kuwa nimemtishia maisha na akadai kuwa niliwahi kumteka na kumbaka, nilishangaa sana, mie nikajitetea kuwa huyu ni mpenzi wangu na namdai Lak240,000/=

Yulee mpenzi wangu akaniruka kuwa simdai hiyo bali namdai elf 40 , mie nikamuuliza kama anadai nilimbaka ilikuwaje nikamwazima elf 40? Basi alikosa majibu na kwa kuwa tulipeana wawili chumbani hakukuwa na ushahidi na alikiri mwenyewe kuwa nilimpa elf 40 nikakubali anilipe.

Basi wakaomba watupeleke kwanza nyumbani kwao ili wajue kuwa mtoto wao kalipishwa faini na wakaahidi kurudi kesho yake ili tuyamalize.

Baada ya hapo hawakurudi tena maana yake nikawa nimepoteza pesa yangu na amenichafulia jina mtaani huyu mwanamke.Nilipokuja kufatilia ndio nikagundua kumbe aliwahi kuolewa na ana mtoto mmoja.

Wadau nimfanyaje huyu mwanamke ili angalau nirudishe heshima yangu aliyonichafua.
 
Unaniaibisha mura! Mchumba hakopeshwi bali hupewa.

Aisee kinachoharibu uchumba ndio mambo kama hizi
Siku yoyote ukishampa mchumba kitu alafu ukaja kumdai ni sawa na kumwambia tuachane.
Mwaka 2011 nilimpa demu wangu simu yangu ya bei ghali atumietumie kwa muda baada ya simu yake kuchukuliwa na dingi yake, yaani ikawa ndio mwisho wa uchumba wetu uliokuwa mtamu na mchanga.

Pole sana mkuu ila hata siku moja usijaribu kumpa mchumba mali iliyomzidi uwezo kwa madhumuni ya kuja kukurejeshea.
Labda umpe kama zawadi. Hiyo itafanya uchumba uzidi kuimarika na siku ukija kumuacha atakutafuta na tochi mchana.
 
mapenzi ya madeni

wema ukitenda sana
kwa sababu usizozijua
wemaaaaa


wemaaa

ku....nyo kooooo
 
Mnamo mwezi wa tatu nilianzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, kiukweli mapenzi yetu yalikuwa matamu kama mjuavyo penzi changa linavyonoga na kushamiri.

Huyu mwanamke yeye bado anaishi kwao na mie nimepanga chumba changu so mara nyingi tulikuwa na kawaida ya kulala pamoja mara kwa mara tunapotoka au kama tuko off basi anakuja kwangu na tunaspend siku pamoja.

Kiukweli hatukufuhamiana sana kiundani sana maana tulikutana tu kazini na kutoka napoishi hadi kwao ni kama 15km , kwahyo tulikutana tu kazini na baada ya kuwa marafiki ndani mwezi kama mmoja ndio tukazama kwenye mapenzi. Kiukweli tulipendana sana maana binti alikuwa mchangamfu, mwelewa, cute na alikuwa talkative vitu ambavyo nilimpenda sana.

Mwanzoni mwa mwezi wa sita tukiwa chumbani tumelala ndipo akanieleza kuwa anahitaji nikopesha laki mbili na nusu mwisho wa mwezi atanirudishia, nilipomuuliza za nini akasema kuwa anataka akajiunge na chuo fulani cha masuala ya Utalii kwahyo alikuwa amepungukiwa na kama laki na nusu na hela za maandalizi mengine kwa ajili ya chuo.
Ni kweli wiki kadhaa zilizopita aliwahi kuniambia kuwa anataka akasome chuo so nilikuwa aware na mpango wake.

Nilijifikiria nimpe hyo hela au nisimpe maana kiukweli nilikuwa nampenda na tulikuwa tumezoeana sana na sikuhisi kuwa anadanganya au ana lengo gani.
Basi nikamwambia nikamwambia hela anyoitaka sina ila nina Laki mbili tu so nikampa kwa masharti kuwa mwezi ajao atairejesha , akakubali vizuri tu.

Zilipita kama siku tano hivi akaniambia kuwa anahitaji tena nimpe elfu 20 ana shida nayo, nikamuuliza ya nini tena wakati juzijuzi nimempa laki 2 ? akasema Ana shida nayo tu hawezi kuniambia, nami nikamwabie siwezi kumpa hadi aniambie,
Aliposisitiza sana nikamwabia mie saiv nimeishiwa hela na nimebakiwa elfu 40 tu ya akiba ( nilisema hvo kumdanganya ).

Baada ya kuona anakomalia sana nimpe elfu 20 , nikamwambia siwezi kumpa maana ndio hela niliyobakiwa nayo, tena nikamwambia labda nikupe ukae nayo wewe mie nikihitaji nitakuwa nachukua kwako.

Niliamua kumpa tena ile elf 40 kama kumpima uaminifu wake na pia kumfanya asinisumbue kuniomba pesa.

Baada ya siku kama tatu alinipigia simu akiomba achukue elf 25 kwenye ile elf 40 niliyompa akae nayo, mie nikamwambia asitoe hata mia maana tulishaelewana tayari, aliposisitiza sana achukue ( kwa alivyokuwa anakomalia nilijua ameshaitumia ila anataka comfirmation tu ).
Nilimzuia asichukue akakubali, so baada ya siku mbili nilimwabia kesho wakati anakuja kazini aniletee ile pesa elf 35 nina kazi nayo, kwanza aliniruka akasema hana na akakata simu.

Kesho yake kazini hakuja asema anaumwa. nilipomwabia vipi ile hela akasema aliitumia yote labda anitafutie nyingine.
Kwanza akawa ananijibu kwa mkato kitu ambacho sio kawaida yake.

Kesho yake alipokuja job akawa ananikwepa hata kuongea, ilibidi nimsubiri hadi wakat tunatoka kazini nilimchukua kwa nguvu hadi kwangu maana sio mbali kutoka kazini.
Baada ya kujitetea sana akaniambia tusubiri mwisho wa mwezi maana ilibaki week tu, nikamkubalia,

Cha ajabu mwezi ulipoisha hakunilipa ile laki 2 pamoja na ile elf 40, hapo sasa na mahusiano yakawa ya kuzinguana maana mie nikawa mkali sasa mpaka akawa ananikwepa.

Siku moja asubuh nikapigiwa simu na mwenyekiti wa mtaa akiniambia nifike kwake muda huo kuna tatizo, nilipofika nikamkuta huyo mpenzi wangu akiwa na kaka na mdada mwingine, wote kaka na yule tunafanya kazi sehemu moja.

Mwenyekiti wa mtaa akaniambia huyo dada (mpenzi wangu ) ameleta mashitaka kuwa nimemtishia maisha na akadai kuwa niliwahi kumteka na kumbaka, nilishangaa sana, mie nikajitetea kuwa huyu ni. mpenzi wangu na namdai Lak240,000/=

Yulee mpenzi wangu akaniruka kuwa simdai hiyo bali namdai elf 40 , mie nikamuuliza kama anadai nilimbaka ilikuwaje nikamwazima elf 40?? basi alikosa majibu na kwa kuwa tulipeana wawili chumban hakukuwa na ushahidi na alikiri mwenyewe kuwa nilimpa elf 40 nikakubali anilipe.

Basi wakaomba walupeleke kwanza nyumban kwao ili wajue kuwa mtoto wao kalipishwa faini na wakaahidi kurudi Kesho yake ili tuyamalize.

Baada ya hapo hawakurudi tena maana yake nikawa numpoteza pesa yangu na amenichafulia jina mtaani huyu mwanamke,

Nilipokuja kufatilia ndio nikagundua kumbe aliwahi kuolewa na ana mtoto mmoja!!!

Wadau nimfanyaje huyu mwanamke ili angalau nirudishe heshima yangu aliyonichafua
Weeee lofa la wapi unadai mwamke???
 
  • Thanks
Reactions: irk
Story ndefuu...msamehe then mpotezee kwa akiri zake huyoo nilivyompima anaweza Hata kuja kukuitia mwizi Na ukafa....sio mwema kwako..kasahau kama shida sio ya siku moja...Msahau IPO siku atakukumbuka.
 
Tumeshaambiwa tuwe tunadai risiti ili kuepusha zahma kama hii!...pole pesa zinatafutwa achana na hzo zitakuletea balaa.
 
pole sana, naskitika hukuwa mwelewa tangu mwanzo ila natumain nw umeelewa kuwa mpenzi hakopeshwi bali hupewa tu.
 
Labda alijua akisema naomba hutampa ndo maana akatumia lugha laini umkopeshe.
Pia lazma ujue mwanaume hasifiwi kudai madeni kw mpenz wake
 
Kama vipi we mbake kweli,mana hamna namna..Ni ushauri tu
 
Hata hvo unaonekana mbahr ndio mana kaamua kusepa. Ulikuwaga unamkula kwa mkopo ama hata elf 20 tu kumpa anaoooombaa kama anadai marejesho bwana.
 
Back
Top Bottom