Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

Sasa nani amuoe na wakati wewe umeshamzalisha.unataka umuache mwezio ukachukue kitu new? Kumuoa mwanamke uliyempa mimba inasaidia kupunguza matukio ya hatari katika jamii yahusianayo na mama wa kambo.
basi kumbe itungwe sheria ya kila mwanaume atakaye mpa mimba mwanamke ni lazima amuoe na aishi nae
 
Swali gumu, majibu mepesi, Bado nafikiria, kwa nini umeuliza hivyo?
1468068055662.jpg
 
labda wakati unampa hiyo mimba Kama ulitoa na risiti. Akija na hiyo mimba yako akuonyeshe risiti ndipo uoe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom