Mwanamke mwenye majeraha ya mapenzi yasiyotibika anahitajika

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
512
604
Habari,

Naitwa Frank ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 30-35.

Nina kipato cha kawaida, naishi na kufanya shughuli zangu hapa Dar es Salaam.
Nahitaji binti mrembo wa Kitanzania mwenye mapenzi ya dhati.

Anayehitaji furaha na amechoshwa na mateso, kuumizwa, kupuuzwa na kudharauliwa ktk mahusiano na angependa kupata tulizo la kudumu la moyo.

Naahidi kumpa zaidi ya vyote anavyostahili kwa wakati muafaka.

Sifa za mwanamke:

~Awe mkweli na muwazi.
~ Awe mrembo haswaa.
~Umri miaka 25_32.
~ Asiwe na mtoto na ikibidi asizidi 1.
~ Awe mkristo mwenye tabia njema.
~Awe walau na kipato japo kidogo.
~Awe anaishi Dar es Salaam.

Am always serious, so i need a serious perfect couple.
 
1464368800706.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom