Umri wa kuwa na mpenzi mmoja tu ni upi?

kabunda88

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
3,094
2,684
Habari,

Kama kijana ni umri gani nikifika inakuwa no kuwa na mademu wengi?Maana sasa kila siku zinavyozidi kwenda naona idadi ya ile hit and run inaongezeka nataka kuwa na my beb mmoja tu nifanyeje.

Kwa mlio nitangulia umri mlifanyaje kuwa na msichana mmoja tu mi naona nashindwa kuwa mwaminifu watoto kitaa ni warembo sana afu wengi mikia hatari, naeza kuwa na mmoja mkali lakini anatokea mkali zaidi najikuta tu nimemtongoza but nahitaji kuwa na mmoja tu bhana afu sikuhizi wazuri ni
wengi sana.

Nawasilisha.
 
Hakuna ruhusa ya kuwa na mpenzi mmoja, inabidi kila binadamu awe ana sample na kuwa sampled.
 
uzur wa mwanamke ni akil yake sura hata mbuz anayo na makalio hata sokwe anayo acha kujidanganya
 
Habar

Km kijana ni umri gan nikifika
Inakuwa no kuwa na mademu
Weng?
Maana sasa kila siku zinavyozid
Kwenda naona idadi ya ile Hit
And run inaingezeka nataka kuwa
Na my beb mmoja tu nifanyeje

Kwa mlio nitangulia umri mlifanyaje kuwa na msichana
Mmoja tu mi naona nashindwa
Kuwa mwaminifu watoto kitaa
Ni warembo sana afu weng
Mikia hatari,,,naeza kuwa na
Mmoja mkali lakin anatokea
Mkali zaid najikuta tu nimemtongoza...
Bt nahitaji kuwa na mmoja tu
Bhana afu sikuhiz wazur ni
Weng sana....
Nawasilisha..
18
 
Back
Top Bottom