Natafuta mwenza

Nyuzi yako ya kwanza uliweka vigezo kibao vipi ulikosa? Lakini ukumbuke tulishapitisha sheria mpya ukiandika unatafuta mwenzi humu kwanza weka picha yako ili watu waje kwa kuvutiwa na sio waje tu kumbe una sura ya Wasira kesho tena uje kufungua uzi hapa
 
Naona umri wako unarudi nyuma kwa kasi ya ajabu, mwanzo niliona 35 sasa hivi umekuja na 33. Nadhani hata kwenye ndoa utakuwa muongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom