Ushauri: Hataki tupate mtoto, sijui ana maana gani


mrs fiance

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
352
Likes
163
Points
60
mrs fiance

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
352 163 60
Mimi ni msichana nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila mtu kivyake. Sasa mimi kwa kweli napenda niwe na mtoto sana.Nikamuomba mwenzangu tuzae mtoto cha kushangaza analeta sababu hata hazina maana. Mara ohooo!Nakuonea huruma wakati wa kuzaa,Mara oho! Mda bado, ananionea huruma wakati mimba nabeba mimi kweli.

Sina tabia ya kuchepuka tu na nimuaminifu kwake asilimia 100%.Laiti ningekuwa nachepuka ningeshampata pengine mwanaume ambae tunaweza tukafanya mambo ya maana.Kama kuoana na kupata mtoto.Maana huyu mpenzi wangu kwa tabia zake hizi nakuwa na mashaka nae kwa mfano mimi ninaweza nikaweka pic zake instagrm na ninazo ila yeye kuweka pic yangu moja tu ilikuwa ni ishu,mpaka tukagombana.

Kiukweli nilikuwa na imani nae sasa inaanza kupotea na naona anataka nianze japo mazoea na wanaume maana yeye anaeeza asinioe kwa hiyo hata nikimpata mwingine nimuache kama alivyo.Nimekuwa mwanamke kwake mpaka najishangaa ni mbinafsi hatari, mpaka nasema huyu kweli atanifaa?Hata kutambulishana rasmi hataki. Japo wazazi wanafahamu ile ya juujuu tu kwamba tunamahusiano.Na ina kama atanipotezea mda tu.
 
belionea

belionea

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Messages
895
Likes
645
Points
180
belionea

belionea

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2014
895 645 180
Pole huyo hakupendi au hana malengo na ww so jaribu kumchunguza vizur kama ana future na ww
 
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Messages
7,475
Likes
5,225
Points
280
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2015
7,475 5,225 280
Sasa mbona husomeki mrembo? Shida yako hasa ni nini? Maana umeongea vitu viiiiingi?
Shida yako ni mtoto au bwana mpya???
 
mrs fiance

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
352
Likes
163
Points
60
mrs fiance

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
352 163 60
Sasa mbona husomeki mrembo? Shida yako hasa ni nini? Maana umeongea vitu viiiiingi?
Shida yako ni mtoto au bwana mpya???
rudia kupitia na usome vizuri utaelewa.shida ingekuwa ni bwana mpya. *ningeandika natafuta bwana*
 
concious mind

concious mind

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
806
Likes
119
Points
60
Age
32
concious mind

concious mind

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
806 119 60
Huyo sio wako utakuwa unamlazimishia kuwa nae, wanasema "huwezi penda kitu ambacho huwezi kukipoteza" tafakari
 
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
2,527
Likes
1,106
Points
280
Polisi jamii

Polisi jamii

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
2,527 1,106 280
kama unataka mtoto njoo nikupatie wangu huyo jamaa yako mgumba keshajua tatzo lake hawezi mpa mimba mwanamke
 
kinguo

kinguo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
434
Likes
302
Points
80
Age
47
kinguo

kinguo

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
434 302 80
mm ni msichana Nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila MTU kivyake. Sasa mm kwa kweli napenda niwe na Mtoto Sana. nikamuomba mwenzangu tuzae Mtoto. cha kushangaza analeta sababu hata hazina maana. Mara ohooo. nakuonea huruma wakati wa kuzaa, Mara oho mda bado,Ananionea huruma wakati mimba nabeba mm kweli.sina Tabia ya kuchepuka tu na nimuaminifu kwake asilimia 100%.Laiti ningekuwa nachepuka ningeshampata pengine mwanaume ambae tunaweza tukafanya mambo ya maana. Kama kuoana na kupata Mtoto.maana huyu mpenzi Wangu kwa Tabia zake hizi. nakuwa na mashaka nae.Kwa mfano mm ninaweza nikaweka pic zake instagrm ,na ninazo. ila yeye kuweka pic yangu moja tu ilikuwa ni ishu.mpaka tukagombana.kiukweli nlikiwa na imani nae Sasa inaanza kupotea.Na naona anataka nianze japo mazoea na wanaume maana yeye anaeeza asinioe kwa hiyo. hata nikimpata mwingine nimuache Kama alivyo.NIMEKUWA MWAMINIFU KWAKE MPAKA NAJISHANGAA.Na ni mbinafsi hatari, mpaka nasema huyu kweli atanifaa.?Hata kutambulishana rasmi hataki. japo wazazi wanafahamu ile ya juujuu tu kwamba tunamahusiano.Naina Kama atanipotezea mda tu.
Pole sana.
 
Usedcountrynewpipo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
3,686
Likes
2,189
Points
280
Usedcountrynewpipo

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
3,686 2,189 280
Chapa lapa, hapo hakuba ndoa.
 
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,862
Likes
5,164
Points
280
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
6,862 5,164 280
best! hebu mshukuru Mungu kwakukuonyesha huyo mwanaume hakupendiii hana mpango na wewe 68% ana mke/mwanamke mwenye mtoto/watoto hebu zinduka! usije ukazaa na mtu ambaye hajakuoa labda ufikie 40+ uone hamna dalili za kuolewa uamue kuishi na mwanao tu UTANIKUMBUKA
 

Forum statistics

Threads 1,237,817
Members 475,675
Posts 29,302,101