Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini Wadau, Najua hili ninalolieleza lilishajadiliwa hapa jamvini ila hakujawahi kupatikana jibu kamili na toshelezi. Ni hivii nilikuwa nasikia tu kwa wanaume wenzangu kuhusu harufu kwa...
1 Reactions
156 Replies
17K Views
★★MEANING OF KISSES★★ Kiss on the stomach = I'm ready Kiss on the Forehead = I hope we're together forever Kiss on the Ear = You are my everything Kiss on the Cheek = We're friends Kiss on the...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Inasemekana katika hali ya kawaida "mwanamke hawezi kutofautisha sex (ngono) na love (penzi)" Hii maana yake atakotoa sex(anakochepuka) ndo huko huko alikopenda(kuna love)!! Possibility ni...
30 Reactions
233 Replies
25K Views
Habari wanaJukwaa Pendwa MMU. Tukielekea ukingoni kabisa mwa mwaka huu wa 2016 katika takwimu zangu za kimahusiano nakamilisha Idadi ya wanawake 50 niliotoka nao kimapenzi huku wengi wao wakiwa...
10 Reactions
233 Replies
24K Views
Habari wana JF, Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa...
3 Reactions
153 Replies
12K Views
Herini za mwaka mpya 2017 Katika pita pita zangu za huku mtaani kwenye msimu wa sikukuu hii na baada ya kupata mialiko kwa familia tofauti nimekutana na hiki kitu. hali ya wa baba na wa mama...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
HUU UKWELI NI MCHUNGU KWA KWELI. 1. Kamwe usiishi na mwanaume ambae hujaolewa nae, usiishi na 'boyfriend' wako kinyumba hata kama ni mchumba wako, utaonekana uko 'cheap' na ndoa unaweza ukaisikia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni mwaka ambao hautokaa unitoke kichwani sababu binti niliyedumu kwa miaka mitano aliponikataa kwa sababu za kipuuzi. Namshukuru Mungu alinipa busara nikajiongoza nikamwacha aende zake. kwa...
9 Reactions
68 Replies
6K Views
Heri ya sikukuu wapenzi, Huyu jirani yangu na mume wake wana watoto wawili, wakiume na wakike, bidada alitafuta sana nafasi ya kwenda kuongeza elimu, amepata chuo Mwanza, mume kwa furaha...
10 Reactions
119 Replies
9K Views
Pamoja na kwamba mimi ni Certified Player, kununua wanawake wanaojiuza barabarani hapana. Kuna msemo usemao wanawake wote wanajiuza isipokua mama yako, ila kununua malaya au makahaba wanaojiuza...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Heri ya mwaka mpya wana JF, Leo nimekuja hapa natafuta mchumba/mke wa kuoa na tujenge familia mimi nina miaka 30 ninaishi Moshi Kilimanjaro, naomba ambaye yuko tiyari anicheck pm au kwa namba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Niko njia panda hapa mzazi mwenzangu anatokea Dar na anaelekea kwao mikoani huko kusalimia Sasa Mimi Niko mbali kabisa na mkoa anaoenda yeye lakini amedai atampitisha mwanangu...
12 Reactions
169 Replies
16K Views
Abari zenu bandugu... heri ya mwaka mpya kwenu woote. Nilipenda kuwashirikisha haya labda naweza nikabahati. Namtafuta mwanamke yeyote ambae labda kachelewa kuolewa ao aliwai kuolewa akaachika...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Natumaini mwaka unaisha vizuri kwa wanaomaliza tofauti basi pole iwafikie! Najitokeza hapa tuweze kushirikiana kwa pamoja nijue ni kwa mwanamke wangu tu au ni tabia za...
3 Reactions
80 Replies
9K Views
Hii tamthilia niliwahi kuiona zamani TBC tangu nipo primary, niliipenda sana na nakumbuka enzi zile ilikuwa inaonyeshwa iliwateka watu wengi sana na ilikuwa gumzo kubwa. Nilipopata Smartphone...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu mpo? Nimekuwa India kikazi kwa muda wa miezi 2. Huko nilifanikiwa kuhudhuria harusi 3 za kitamaduni mjini Delhi. Kilichonishangaza ni kuwa maharusi walikuwa Watu Wa karibu sana. Yupo...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Happy New Year wapendwa Jana nilipata bahati ya kutoka kwetu Kwamtogole, nilialikwa Masaki kwenye New Year's Bash. Acheni kodi ya Masaki iwe juu, kule hata jirani akikaanga samaki si rahisi...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Natafuta mke Umri awe na miaka 25 kuendelea. Elimu diploma na kuendelea. Umri miaka 38. Nimeajiliwa serikalini. Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF. Siku za karibu nilipata mualiko kutoka kwa rafiki yangu moja kula chakula cha jioni. Nilipofika nyumbani kwa rafiki yangu, jamaa kanikalibisha vizuri pamoja na mke wake, chakula...
0 Reactions
127 Replies
12K Views
Back
Top Bottom