Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hali zenu wana MMU, vp maandalizi ya pasaka? Naomba mnisaidie ni zawadi gani inafaa kumpa mchumba katika kuadhimisha birthday yake? make nshampa zawadi nyingi tu km. boxer, saa, nguo, viatu hadi...
0 Reactions
36 Replies
15K Views
Khabari wana MMU, Maji ya shingo yamenifika mtoto wa khadija mie, sina amani na maisha yangu. Mi ni binti ninayefanya kazi ya Hotel Management katika Hoteli moja maarufu hapa jijin Tanga, nina...
1 Reactions
222 Replies
29K Views
Nikiwa shuleni nimewahi ishiwa ada hali iliyonifanya nipige vibarua nipate ada. Sasa hio sehemu nilikua napiga kazi (Kujenga) niliangukiwa na tofali mguuni daa niliumia sana waku, nililia kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Majibu tafadhari
4 Reactions
184 Replies
27K Views
Awe mweupe au maji ya kunde mrefu alie ajiriwa au mfanya biashara umri 30 kuendelea awe mcha mungu mkristu
17 Reactions
192 Replies
25K Views
Salaam wana jamii; Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na "threads" nyingi zenye MSG ... NATAFUTA MCHUMBA ama NATAFUTA MUME ....... Shida yangu si hilo hitaji bali TERMS and CONDITIONS...
3 Reactions
86 Replies
6K Views
Niheri kuitwa mwanaume suruali kwa maana "huna hela" kuliko kuitwa mwanaume jina "huwezi mambo kitandani". Asikwambie mtu ukiwa na uwezo mzuri kitandani unakua na heshima iliyotukuka mbele ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu sana jf Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana...
3 Reactions
156 Replies
20K Views
Hi' wanajamii! Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,? Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi huwa nafurahi sana kumuona mtoto wa kike akiwa ameivaa.
0 Reactions
84 Replies
24K Views
Hello Guys Heri ya mwaka mpya kwenu,naamini wengi wetu tumevuka salama kwa uweza wa mola,nami nawatakia 2017 iwe ni mwaka wa tofauti wenye baraka tele..
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu maana nimekuwa mtu ambae sina imani tena na mahusiano ya mapenzi kutokana na wakati mgumu niliopitia, mimi ni kijana mwenye miaka 23 ni...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Huyu dada aliolewa na this guy ambaye alikuwa school mate wake walikuwa vijana vijana tu. Ndoa yao ikiwa changa walibahatika kupata mtoto, wakati huo mume huko nje anavimchepuko vyake viwili. Ile...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
TIPS ZA KUFANYA MSICHANA AKUPENDE!! . 1. Kiss her hands, forehead and nose regularly - nimesema hands sio lips!! Unless ni zile lips zengine...hio inakubalika. . 2. When crying DO NOT ask her why...
12 Reactions
38 Replies
10K Views
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka...
2 Reactions
106 Replies
12K Views
Wadada wengi siku hizi wanapenda harusi sana.na mwishowe wanaishia kuzalishwa au kuzeekea makwao au kuolewa na wanaume ambao ni sawa na baba zao na mala nyingi wanaume waliowazidi umri ni wale...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja(Otou) nchini Japan amefikisha miaka 20 pasipo kuzungumza na mke wake wa ndoa(Katayama Yumi) kwasababu mwanamke huyo alimuudhi. Hali hiyo imetambuliwa na mtoto wao wa kiume Mwenye...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Heli ya mwaka wa MMU nachukua nafasi hii kuwapa hongera wana jamv wote kwa kufika mwaka 2017 na kumaliza mwaka 2016 salama. Naimani jukwaa hili ni bora zaidi nimejifunza meng sana kupitia majamv...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Habarini wa JF. Napenda kubadilishana uelewa juu ya dhana ya kuoa mwanamke mnayelingana nae uwezo (kikazi) mfano;daktari kwa daktari na teacher kwa teacher. Je,kuna uhalisia wowote kuwa Mara...
1 Reactions
189 Replies
20K Views
Iam looking for a female friend who have a positive attitude, courage and self determination. should not exceed 30 years with any belief (christian or muslim). anybody who is ready can send a...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom