mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,726
Inasemekana katika hali ya kawaida "mwanamke hawezi kutofautisha sex (ngono) na love (penzi)"
Hii maana yake atakotoa sex(anakochepuka) ndo huko huko alikopenda(kuna love)!! Possibility ni kubwa mno.....over 95%
Inasemekana hii ndio sababu kubwa mwanaume mwenye grade ya juu kabisa katika malavidavi akimstukia mke wake wa ndoa amemsaliti au hata girlfriend ana mchepuko hatomsamehe kamwe na technically ndio unakua mwisho wa mahusiano husika
Na kwa style ya ajabu kabisa(paradoxically ) mwanaume anayesaliti nje ya ndoa ana zaidi ya 90% ni "TAMAA" peke yake na sio "LOVE"
Kwa kulitambua hili ndio maana mnamsamehe mwanaume aliyecheat? tofauti kabisa na wanaume jinsi inavyomchoma na kumuunguza rohoni na muda mwingine unakua mwanzo wakuharibika maisha yake?
Huku kwetu uswahili wanawake wa ndoa akistukia mume wake anatoka na mchepuko utasikia "mwache tu baba andunje atazunguka huko kote hapa ndo amefika". Wapo wanaume wenye ujasiri wakuzungumza hivi?
Kwakua hapa ni jukwaa pendwa naomba tujadili