Natafuta mwenza awe mke

katto14

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
226
62
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato.

Aliye tayari tuwasiliane pm
 
Hah hah hah waviziaji ni grade 3 and 4, na hao wanaoandika hizo thread ni grade.......
Nao binafsi ninawatilia doubts kidume mzima unaanzia wapi kukosa mke wa kuoa mpaka uje kutafuta huku wakina KAKUACHA NANI??
 
Nao binafsi ninawatilia doubts kidume mzima unaanzia wapi kukosa mke wa kuoa mpaka uje kutafuta huku wakina KAKUACHA NANI??
Hah hah hah ww utakuwa hujui kwann watu walianzisha hiki kitu ndio maana una wrong perception, people are busy kias ambacho hawana muda wa kutafuta wapenz physically hah hah hah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom