Wasalaam wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mwenye uelewa mzuri kuhusu nyota ya simba hususani vitu vifuatavyo kama : mavazi gani yanafaa, uhusiano/mke yupi anafaa, Biashara/Kazi gani inafaa...
Habari za wakati wakubwa....
Yakiwa yamebakia masaa machache na dakika kabla hatujaingia mwaka 2017, naomba nilete mbele yenu mrejesho kuhusiana na maoni/ushauri mlionipatia kupitia thread yangu...
Katika pilika pilika zangu leo nilitoka alfajir na rafiki yangu Hussein kwenda kwenye biashara zetu.
Tuliacha kila mmoja alikwenda mitaani ndipo nimegundua ya kuwa mapenzi ya siku hzi uongo...
Ndugu zangu, vijana wa kiume muwe makini sana haya ninayoyasema sio ya kusikika nimeyaona na yamenikuta yapo mimi ndio bilgc father.
Kwanini wasichana wa karne hii hasa wenye kazi (check no )...
Niliwahi kusoma 'utani' mahali kwamba; Kama unataka 'kumuua' mwanamke, basi mwambie unampenda kisha usiongee nae tena!!(Tell her you love her,then ignore her!)
Lakini, je ni kweli mwanamke...
Kuna swali liliulizwa juu ya majimaji kwenye uke wa mwanamke, kama ni raha au kero kwa mwanaume wakati wa kujamiiana..!
Jibu lilikuwa hivi:
Kuna aina mbili za maji anayotoka mwanamke wakati wa...
Salaam!
Ni ushauri tu,
Kama tunataka mahusiano yetu yaanze vema 2017, tafadhali kwa siye ambao hatujaingia kwenye ndoa tusianze mwaka na kufanya ngono yaani tuiache tar 1/1ipite ndo tulianzishe...
Habarini Wadau,
Kama kawaida Mods, lengo si kukashifu ibada/huduma ya watu bali kuonya na kurekebisha
◆ SAFINA REDIO ni redio iliyopo jijini Arusha iliyoanzishwa miaka michache tu ya nyuma...
Kama mke wako, mpenzi wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat.
1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume...
Kuna kipindi nilikuwa na girlfriend wangu, akanicheat na jamaa flani. Tukagombana ila nikagundua sababu ni alikuwa ana hamu sana ya kuolewa na mimi nilikuwa bado sijasettle na jamaa alimpanga...
Kuna thread/post nyingi humu zinazohusu ile shughuli pendwa - duration, frequency nk. Haya hapa matokeo ya utafiti. Unaweza kujitathmini kama uko normal au unapaswa ujiongeze. Ukitaka taarifa...
Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?
Juzi hapa nilipost kisa changu nikielezea hilo suala. Wengi walishiriki maoni ambayo kweli yalikuwa positive sana na ndo vile vile ambavyo hata mimi...
Guys, mnaposema kwamba mnataka mwanamke ambaye akiamka asubuhi afanane kama anapokuwa anaenda out, like clubbing or on a ceremony, what d' you mean? when you guys wake up especially in the...
NDIO MUNGU ANAWEZA KUKUSHANGAZA
Chukua mfano huu mdogo utajifunza kitu
1999 : Brazil 4-0 Germany
2002 : Brazil 2-0 Germany
2004 : Brazil 1-1 Germany
TOTAL = BRAZIL 7-1 GERMANY
LAKINI MWAKA...
Binafsi huwa sipendi kabisa kumyoa mke wang mavu*i, na nikikataa na yey atayaacha ivo ivo, nimechoka sas na sijui nitumie mbinu gani kukwepa hii kitu
Sijui na nyie wadau huwa mnafanya hivi au ni...
Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo.
Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi.
Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango.
Mke akaenda kufungua mlango.
Bahati mbaya kumbe ni mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.