Lara1 is one of popular members wa JF hususani jukwaa hili la MMU lakini kwa muda mrefu hatujaweza kumuona hapa jukwaani, kuanzia uchangiaji wa mada mpaka kupost mada zake nzuri na za kusisimua...
Wengi huwa wananiambia labda nina mategemeo makubwa kwa wanaume kumbe nao ni watu tu wa kawaida, ladba mimi nawaona wana supernatural power au vyovyote vile.
Story ipo hivi;
Kuna mdada mmoja wa...
Kuna tofauti nyingi tu kati ya Mwanamke na Mwanaume, ila tofauti mojawapo Mwanamke anapenda _vitu vingi sana kwa Mwanaume mmoja....._
Lakini _Mwanaume anataka kitu kimoja tu kwa wanawake wengi...
Wakuu,
Hivi hawa wanawake tunaowasimamisha huku mitaani wanajibu eti they dont talk to strangers, huwa wanaolewa au wanakua na mahusiano na wanaume wa sampuli gani?
Heri ya mwaka mpya wana Jf wote..!
Nalileta kwenu hili nikiamini humu kuna watu wazima wenye kuweza kunishauri katika hili.
Ila kwa wale wadogo zangu ambao bado mko masomoni naomba muwaachie...
Hivi ni kwanini sisi tumelelewa kwa kuchapwa,kutishwa ,maneno makali
Ukikosea kitu utakalipiwa,,mzazi hawezi tu mwambia mtoto kwa utaratibu akaelewa?unajua hadi vizazi na vizazi vimerithi
Toka...
Ukiamua kuingia kwenye suala Zima la Mahusiano ya Mapenzi,Unatakiwa kusahau wengine na kuambatana na Ulie nae kwa dhati na si kiusanii sanii.Kwanini nasema hivi kwasababu PENZI lina MIIKO yake na...
Niliwahi kusikia kwmb mara nyingi wapenzi wanapogombana, au kuwa na mvutano, inapotokea wamefanya mapenzi basi ugomvi ule huwa umefikia mwisho.
Kwani haiwezekan ukasex na mtu hata akiwa...
Kuna binti mmoja nilikuwa na mahusiano naye, nilimpenda kwa dhati lakn baadaye akakata mawasiliano ghafla, nikakaa kimyaaa pia baada ya mwaka na miezi kadhaa nikamtafuta akaniambia ye ni mzazi...
Habari zenu wana jukwaa hili la MMU na wote nawatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2017 ukawe wenye baraka tele kwenu nyote.
Back to the topic,ni hivi mimi ni member wa siku nyingi sana wa humu jf ila...
NDUGU zangu Leo imekuwa siku ya hudhun kwangu wakati wenzangu wakifurahi na Kusherekea wakiusubir ujio wa Mwaka mpya lkn kwangu imekuwa tofauti kwan nimekuwa mtu wamajozi kila wakati Nikijana...
Nimdwahi kuwaona wanaume wengi wenye mabavu (wababe) wenye fedha wanaume wenye taaluma za (kibabe) mfano wanajeshi tena komandoo, wezi watumia silaha nzito, nimewahi kusikia madikteta mfano...
MAMBO MADOGO YAVUNJAYO NDOA.
Mahusiano yetu hasa ya karne hii yamekuwa na changamoto nyingi sana na kila mtu ni shuhuda katika hili na huvunjika kila siku kukicha ni mambo madogo madogo tu...
Kutokana na utafiti niliofanya mimi mwenyewe sasa ni dhahiri wanawake weupe wanaringa sana kuliko wale weusi...
Utafiti huu ulijumuisha kuwatokea moja kwa moja, asilimia kubwa kati yao hata...
BUSARA KWA WANAWAKE. YAFUATE HAYA MAHUSIANO YAKO YADUMU
.
Tambua kwamba mimi sio mfundaji bali mshauri tu.
Pitia mwana JF huenda Mwaka 2017 ukawa bora kwako.
1. Degree yako ya fist class...
Wakuu,
Kweli nimeamini kitu ukiwa nacho huwezi ona thamani yake, nakumbuka enzi nasoma nilikuwa nasoma na wasichana wazuri sana, ila sikuwai waza ata siku moja itafika nami niangaike kutafuta...
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ambae wakati nadate nae hakuwa na kazi na alikua na heshima sana, simu anapiga meseji anatuma na tuna mtoto mmoja lakini kapata kazi basi suala la kupiga simu...
Why is it that some people like to act like they know you "well" when they damn well know that they don't know you?
You will hear somebody say..oh I know such and such...he is this and that...I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.